Otile Brown – Na Enjoy Lyrics
Check out “Na Enjoy” lyrics by Otile Brown on Kelxfy. “Na Enjoy” is off Otile Brown’s new album, “Grace“.
Na Enjoy Lyrics
Yeah! Hapa ilikofika
Ni bora nilinde amani yangu
Maana mchezo mjini, katu siuwezi
Tatizo mi nikipenda huwa napenda kweli
Wakati hapa mjini watu wanaigiza
I used to have a love
Nilimpenda sana
Kanijaza kaniacha mwenyewe
Matukio yalonipiga bado sijapona
Naona bora nibaki mwenyewe
Ndo usiulize niko single
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy
Ndo usiulize niko single
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy mimi
Wasiulize, niko single
Wala sitamani tumaini sina
Imani nishapoteza nazo sina
Mwambie ex shobo nae sina
Simwazi wala kumfikiria
Mwambie apunguze maneno
Mwambie apunguze michambo
Kwenye status, michambo
Kwenye caption maneno
Mwambie apunguze maneno
Mwambie apunguze michambo
Kwenye status, michambo
Kwenye caption maneno
Ndo usiulize niko single
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy
Ndo usiulize niko single
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy mimi
Wasiulize, niko single
(Ndo usiulize, niko single)
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy
Na enjoy mimi, na enjoy mimi, na enjoy