Willy Paul ft Nandy Bembeleze lyrics
Check out the lyrics to Willy Paul new song featuring Tanzanian songstress Nandy titled “Bembeleze”. Bembeleze lyrics are written in the Swahili language. The song is the third collaboration between Willy Paul and Nandy. It follows “Njiwa” and “Hallelujah”.
Bembeleze Lyrics
Wanasema utakuja nikimbia
Utaniacha mmm
Wanasema utakuja nitesa
Moyo utaviruga wooooh aaaah
Wanasema utakuja nikimbia utaniacha
Wanasema utakuja nitesa
Moyo utavuruga yeah…
I wish wangejua unavyonipenda
Nami navyokupenda
Tunavyobembeleza…
Itabidi wakam slowly ehe
Na wajione tukipigana mate ehe
Hapa tu ni mapenzi ya dhati
Baby njoo niku bembeleze
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Sijawai kuona a man so good
Aaah ama so sweet
Mmmh aaah a man so perfect
Sijawai kuona a man so good mmmh
Aaah ama so sweet
Mmmh aaah a man so perfect
Na nikiugua ni wewe ndie daktari
Wa moyo wangu baba aaah
Kila unaponishika
Kama nimepigwa na umeme mmmh
kila unapoondoka yangu dunia inasimama
Mapenzi yako yamenipa amani
kwa mapenzi yako sihitaji ata money
Baby wengine hata sitamani
Basi my lover
Njoo nikubembeleze.
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)
Baby njoo nibembeleze (nibenibembele)