Size 8 Reborn ft. Wapendwa Music – Inakuwashia Nini Lyrics
Check out “Inakuwashia Nini” lyrics by Size 8 Reborn featuring Wapendwa Music on Kelxfy. “Inakuwashia Nini” is a song that talks about being proud of who we are. The song advocates for loving people for who they are instead of judging them.
Inakuwasha Nini Lyrics
Nimepita mtaa flani, wakasema mama Wambo
Tumbo kubwa unanona zaidi
Nimepita mtaa flani wananicheka sana
Wananiita toothpick ati nimekonda zaidi
Nimepita mtaa flani kicheko na kicheko
I’m not a real man, juu sina misuli
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Natembea kwa ujasiri, natembea kwa ujasiri
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Ninone nikonde, rangi ya thao nikose
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Oooh, aah
Oooh, aah
Oooh, aah
Oooh, aah
Ninasikia, ninasikia sauti ya upole
Ikiniambia natosha nilivyo
Aliniumba kwa urembo na mfano wake
Ninatosha jinsi nilivyo
Niwe mweusi ni sawa
Na niwe mweupe ni sawa
Maumbile yangu, inakuwashia nini?
Niwe mfupi ni sawa
Na niwe mrefu ni sawa
Maumbile yangu, inakuwashia nini?
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Natembea kwa ujasiri, natembea kwa ujasiri
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Ninone nikonde, rangi ya thao nikose
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Inakuwashia nini, inakusumbua nini?
Maumbile yangu inakumbua nini?
Natembea kwa ujasiri, natembea kwa ujasiri
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Ninone nikonde, rangi ya thao nikose
Nina Yesu moyoni, amenipa ujasiri
Oooh, aah
Oooh, aah
Oooh, aah
Oooh, aah