Kestin Mbogo ft. Israel Kakondja – Natamani Nikuone Lyrics

Read “Natamani Nikuone” lyrics by Kestin Mbogo featuring Israel Kakondja on Kelxfy.com
Natamani Nikuone Lyrics
Haja ya Moyo wangu
Kilio cha Moyo wangu
Tamanio la Moyo wangu
Nikuone, nikuone
Haja ya Moyo wangu
Kilio cha kizazi changu
Tamanio la kanisa lako
Tukuone, tukuone
Haja ya Moyo wangu
Kilio cha Moyo wangu
Tamanio la Moyo wangu
Nikuone, nikuone
Haja ya Moyo wangu
Kilio cha Moyo wangu
Tamanio la Moyo wangu
Nikuone, nikuone
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu
Oh Yesu, Jina lako Yesu
Nakutamani nakutamani
Oh Yesu, Jina lako Yesu
Nakutamani nakutamani
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu
Natamani nikuone
Niuone uso wako
Nikuabudu
Nikuabudu