Mejja – Amnesia Lyrics
Check out “Amnesia” lyrics by Mejja on Kelxfy.
Amnesia Lyrics
(Mavo on the beat)
Mbona unanitafuta?
Niliomba uniokolee buda ukanifukuza
Saizi ndo unanijua
Nimeanza kushika doh ndo unataka kukuja
Tukikunywa ndogogio
Nilidhani si ni mamorio
Sikujua marafiki wa sherehe
Ukipata shida wanakuchorea
Uliambia watu, Mejja aliisha
Ona sai mi nakula maisha
Wewe si ulinilenga
Nakupigia mpaka unaingia mteja
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati saii hukumbuki
By the way niko free
Time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free
Time yako ndio sina
Ulidhani ntachapa
Nikipiga simu unakata
Mambo ni mpya gathee
Kabla unifikie kwanza ongea na P.A
We’ ni zuzu ninii?
Uliambia watu “Najua atanitafuta!”
Na hio kazi ni mi nilikufunza
Mi nikutafute, kwani umekuwa mjinga?
Ah, na uwache kuniita bro
You’re just a friend, I used to know
Sina time ya watu fake
Unanibore by the way unaeza step
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati saii hukumbuki
By the way niko free
Time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free
Time yako ndio sina
Siri zako ninazo
Mi si kama wewe izo ntakufa nazo
Siri zangu umeeneza
Inaonyesha vile ulikuwa umenibeba
We.. punguza hamnazo
Hauna aibu ati unanialika kwako
Nijikute, ka kuna choice
Heri hata nife (haha)
I want to make a toast
Wagenge hukunywa rum
Ka beshte yako ni mtrue
Cheers manze
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati saii hukumbuki
By the way niko free
Time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia
Ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free
Time yako ndio sina