Case Closed Lyrics by Wakadinali
Kenyan artists Wakadinali have released “Case Closed” of their album Ndani ya Cockpit 3. Enjoy “Case Closed” lyrics on Kelxfy. “Case Closed” is a song that talks about winning and the harsh reality we live in in modern society.
Case Closed Lyrics
Huuh, kwani tunaulizana nini? That’s it
Ka beer imekushinda, just don’t touch it
Hmm, mkwanja first alafu tuboronge baadaye, tuboroonje
Hii chai hii simu inataka charger ina-charge faster
And back to the throne, na mamorio mashattaz
Thunderman mi ni Thor na low-key akidiru Asgard
Timberland nazoza zile za kishagla nguna on my shoulder, anadigi ganja
Sare story za kuongelea demo na hata hujui ku-master
Grrrrr, huskii haina clutter, Boxer, TVS, Skygo
Senke inaramba bila kukagua puncture
Story ka hizo ni shida za ma lastborn
Mazza mazza mazza mazza
Niko kwenu hapa nje na mtura inajazwa
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed, ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed, ah, mustang mrenga guzzler
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed
Ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed
Ah, mustang mrenga guzzler
[SewerSydaa Mkadinali]
Yoh, yoh
G-Bag madiwa alafu tea bag maziwa napelekea wife
Keep off marima niko sippin’ mamzinga usiniharibie psyche
Niko na fruity loops na passion na zime-ripe yaani full of life
One mic ilinipea five, we’ nakuona uko 9 to 5
Nilienda disco kuota jiko red flag nikatoka mbio
Nikarudi rikko siskon mjaste ikabidi nimepigia Skillo
Off-road to sea boat nina ma-fans wanasahau juu ya tiplo
Na si foski bro, ndio nimake sense hii lazima ni-flow
Emergency kadera stop ya sigara saii saii
Utiaji huwa bera ka we’ ni mjanja tuishie chuom Far East
Wametokea na Vitz ki KDB, five-seater
Ambia bitch wako atoke kuna mziza joh hafai kufinywa
Jajiko uligonge hustler, man Samburu, mi ni rustler
Na niko na land Kamulu, into the Badlands
Kwa ivo? Ambia Mayor mi huwa si-face laws
Na ka unanitaka welcome to Gang land, case closed
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed, ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed, ah, mustang mrenga guzzler
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed
Ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed
Ah, mustang mrenga guzzler
[Scar Mkadinali]
Unaniitisha za macho na uko na mdomo hatuelewani
We msichana wachana na Scar-zo
Kile atakupea ni kei na bangi
Rende Rong bado, mi nashangaa hizo zenu ndio gani
Sikuagi fiti na fashion lakini nkidunga bei ghali
East vela inatepa
Steam ikizidi unatema ketepa
Kwa tiplo nawasha wakiteta
Moshi kwa keja nikiseti caretaker
He-he-he-he chunguza nikicheka
Nikiskia fiti wanadai zimeshika
“Hey, Alexa. Nichezee ngoma moja mpya ya E-Sir”
Nilienda against odds nikishika pencil inakuwa case closed
Buda wacha keja mimi ninataka Esto
Simu ni mteja nikiingizaga rikko
Unataka pesa na unanitumia please call me
Mi sibongi, wanna snitch on me?
Unitumie dem aniekee pishori
Lakini niko rada siezi tishwa G
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed, ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed, ah, mustang mrenga guzzler
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed
Ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed
Ah, mustang mrenga guzzler
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed, ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed, ah, mustang mrenga guzzler
Huh, itakuwa case closed
Fck your murder yes sir
Huh, itakuwa case closed
Cheki Dosh na-pull up na Mustang
Ah, itakuwa case closed
Ah, mrenga ni guzzler
Ah, itakuwa case closed
Ah, mustang mrenga guzzler