Diamond Platnumz ft. Zuchu – Raha Lyrics
Check out “Raha” lyrics by Diamond Platnumz featuring Zuchu on Kelxfy.
Raha Lyrics
(Eyoo Trone)
Embe parachichi
Ndo utamu wa penzi lako
Mmmh, na kwangu hawachii
Mmmh, na utaniua sitoki kwako
Nishakuvesha taji
Bingwa wa kazi yako unaipatia
Mmmh, na napokosa we ndo judge
Nifunge hata maisha nitakutumikia
Mmmh, mambo pekeji pekeji
Twajiswasa mbola
Penzi si la kienyeji
Viongo vya dollar
Natuma ma message
Anataka kunipora
Ananionyesha baby
Ju anachora, mmmh
Oooh aah, ati nikikuona
Oooh aah, naona raha mbona?
Oooh aah, ati nikikuona
Oooh aah, naona raha mbona?
Nilishachuku chuku ya tungule, paja
Hesabu zi- unirudishe na shule, ada
Utaanza na nini, kula ndo ule, labda
Uwe sima mimi ni sasamburi, jaja
Oooh moyo, nakupa moyo
Baby ooh moyo, pokea moyo
Oooh moyo, nakupa moyo
Baby ooh moyo, pokea moyo
Mmmh, mambo pekeji pekeji
Twajiswasa mbola
Penzi si la kienyeji
Viongo vya dollar
Natuma ma message
Anataka kunipora
Ananionyesha baby
Ju anachora, mmmh
Oooh aah, ati nikikuona
Oooh aah, naona raha mbona?
Oooh aah, ati nikikuona
Oooh aah, naona raha mbona?