Thee Pluto ft Wyse Tz – My Baby Lyrics

Thee Pluto has released a new song titled “My Baby” dedicated to all parents. The inspiration behind the new song is after Thee Pluto daughter Zoey Pluto was born. Thee Pluto with the help of Wyse TZ from Tanzania was able to drop the new song. Check out “My Baby” lyrics below.

My Baby Lyrics
Si unaona nalia,haujui nalia nini
usinishangae
Furaha imenizidia, hadi ndani moyoni
Usinishangae
Nimetimiza ndoto zangu
Ndoto zangu,nimempata mwanangu
Karibu duniani mtoto wangu
Mtoto wangu,ubarikiwe na Mungu
Umenibadilishia jina
Nimekuwa mzazi, umenipa heshima,mmmh
mwanangu nakupenda sana
Na ninakuombea uwe na maisha mema
So let me call you my true love
My baby true love my baby true love oo oh
True love true love my baby true love
My baby true love oo oh true love
Sitaacha kupambana kwa ajili yako
Furaha yangu iwe ya kwako
Umenifanya nijione special
Tunakupenda wazazi wako
Wewe mtoto wangu your my number one
Umenipa amani,kweli sio utani
Umenibadilishia jina
Nimekuwa mzazi, umenipa heshima,mmmh
mwanangu nakupenda sana
Na ninakuombea uwe na maisha mema
So let me call you my true love
My baby true love my baby true love oo oh
True love true love my baby true love
My baby true love oo oh true love
https://www.youtube.com/watch?v=Efh89gKSQlY