Trio Mio Everyday lyrics ft Savara
Check out “Everyday” lyrics by Trio Mio featuring Savara on Kelxfy.
Everyday Lyrics
Anhaa..Trio Mio (Mkurungenzi)
(Kingpheezle on the beat)
Nakupenda straight from the heart usiwai shuku
Deeper than appearances na luku
Huku kua na msichana ametulia inakuanga ngumu
Huwanga wanapenda maisha inakimbia ka gurudumu
Vijana wa Nairobi lazma uogope makunguru
Your mama amekukanya akakupiga marufuku
Anasema ntakupea stress na ntahepa majukumu
Alafu mi ni star hio ni life ya usumbufu
Wasanii ni watukutu man vitu mmezoea kuskia
haikuhusu wananijua zaidi ya hao kuambia
Mi hucheka tupu kabla ya ustar na usanii kuingia
Rupurupu siwezi change, wataki tulia
Nakupenda bure na natangaza msimamo
Ulimi nimekufa sina mjamo napambanya
Sote tule, achana na walimwengu wana mambo
Ningependa sana nikuone kando
Nikuambie vile una..
Ooh take me higher
Oh my baby desire
Sichezi mbaya woman I’ll be loyal
Everyday, in every way
Everyday, in every way
Aaah gangster lewa men ka love letter
Bad boy confession umenimaliza (Why lie)
The way you dress, mama you deu do me like am possed
Everyday looking flawless, you’re my angel ma goddess
Ulinipenda bado
Nikiwa chupi sijashka madoh
Na umekuwanga ma ride or die ooh
And you will never ever do me shayo
Ata nikibuy kilambo si ni we utasit apo kandoo
We take a drive twende back Eastlando
Zabe zetu za kitambo
Ooh take me higher
Oh my baby desire
Sichezi mbaya woman I’ll be loyal
Everyday, in every way
Everyday, in every way
Ulinipenda bado
Nikiwa chupi sijashka madoh
Na umekuwanga ma ride or die ooh
And you will never ever do me shayo
Yeah yeah yeah… gangster
Me nafeel you are my destiny (destiny)
Constantly unacheki the best in me (best in me)
Nafall in love when you invest in me
No one above you you were sent to me
Me nafeel you are my destiny (destiny)
Constantly unacheki the best in me (best in me)
Nafall in love when you invest in me
No one above you you were sent to me
Me nafeel you are my
Me nafeel you are my
Constantly you’re my destiny
Constantly you’re my destiny
(Stray music)