Vijana Barubaru Ipo Siku lyrics & meaning
Check out Vijana Barubaru new song “Ipo Siku” lyrics on Kelxfy. “Ipo Siku” drops after the success of their 2022 song “Sasa Hivi” featuring Ashley Music. Vijana Barubaru is a music duo made up of Tuku Kantu and Mshairi Spikes (also known as Mwana Wa Wambui), who are on the rise, and you need to watch them in 2023.
Ipo Siku Lyrics
Japo ninapata kidogo ninalisha familia
Ndoto nimeweka kwa moyo haiwezi didimia
Baridi hunipiga kwa soko, angalau nipate mia
Siku nitarudi kwa udongo hakuna deni nitawaachia
Baba nibariki mimi nimshiriki
Bariki pia watu wangu
Tusikose ridhiki, tusichoshwe na dhiki
Mungu pitia kwangu
Nyumbani tusirudi mkono mtupu
Waru tukibeba utujazie kasuku
Tuache Mayai tukule mamake kuku
Ipo siku
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Kiatu yangu ikinifinya naumiaga solo
Kiraka labda tu kwa nguo sijivunji moyo
Wananilenga kila siku nikiwaomba
Mungu ndo malenga shairi yangu anaichora
Tuko stanza naishangi vile inanzanga
Shimo nimejitoa watu wengi wanazamanga
Pesa ni dawa na sina fare ya kwenda pharmacy
Umasikini homa wapi kitambaa ya makamasi
Nimechelewa ndo kuna watu nalea
Za chama sijatoa, nitatumaje fare?
Nadunga Sunday best nikingoja blessings
Shetani alinitest my performance was impressive
Yes Lord!
Unanipenda vi-tremendous
Ukibariki wengine sometimes I get jealous
Pole nilianza na mwili nitamaliza na roho
Usimalizane na mimi ni mimi —
Nibariki
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Mungu baba when you remember me
Ukinipa nyama nipe kachumbari
Nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari
Mungu baba when you remember me
Ukinipa nyama nipe kachumbari
Nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari
Yes Lord! Unanipenda vi-tremendous
Sometimes I get jealous
Pole nilianza na mwili
Nitamalizia na roho
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Ipo siku (One day)
Najua ipo siku mama (One day)
Watatuombea mabaya lakini hatutafeli
Ipo Siku song meaning
Ipo siku is a Swahili word that means “There is a day“. The song “Ipo Siku” is a spiritual song that encourages us to keep moving even if we are going through a hard time. The artists; Spike Mshairi (also known as Mwana wa Wambui) and Tuku Kantu use the song to encourage their audience never to give up or lose hope in life.