Sasa Hivi lyrics by Vijana Barubaru ft Ashley Music

Sasa hivi is a song by Vijana BaruBaru featuring Ashley Music. Sasa hivi is a Swahili word which means “now” in English. The song talks about actionable plan to please a woman. The lyrics are well written and leaves you taken away by love. The song teaches us to appreciate, treasure and love our women. Love is so strong indeed.
Sasa Hivi lyrics
Soon ntakusave na love emoji nitoe official name
PDA bila uwoga juu licence ni pete
I’ll buy some boxers, you can share with me
Uwache kuvisit uishi na me
Kifunguu nkutolee copy usizubae kwa gate
Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe
Si valentines nikueke archives pale kwa TV
Lazma uolewe and it must be me
Kesho yetu usifananishe na jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
Nitakuita wangu kabla uitwe na Maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Nitakupenda sahii na ka si sahi, ni sasa hivi
Nitakuita wangu kabla uitwe na Maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Nitakupenda sahii na ka si sahi, ni sasa hivi
Sasa hivi
Sasa hivi, sasa hivi
Ntakupenda sahii
Ukipigana na dunia, ill be fighting by your side
I’ll carry your name, my love is strong enough
Niamini with your weaknesses open up
I’m on your team not against you
I’ll cook your favorite meal, ukule ulambe sahani
Yakimwagika ntapanguza usijali
Lazma nikuzalie watu wenu wanijue
Hio naeza guarantee
Kesho yetu usifananishe na jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
Nitakuita wangu kabla uitwe na Maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Nitakupenda sahii na ka si sahi, ni sasa hivi
Nitakuita wangu kabla uitwe na Maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Nitakupenda sahii na ka si sahi, ni sasa hivi
Sipendi your favorite artist
But nakupenda ntacompromise
Klabu date ya smocha
Humind vile burger sifiki price
Kuona movie kwa lapi ni intimate
Hatuwezi sjikana kwa theatre
Nikwandalie candle lit dinner
Tokens kidogo vile meter inateta
Kuna tisho flani nimebuy baggy
Si tuone vile itakuvaa
Ati games gani? Hapa labda kadi
I’ll never play with your heart
Twende house hunting
Tupange nyumba bila intentions za kuikaa
Naeza kopa gari twende nayo Nanyuki
But hio ni trip ya njaa
Ugumu wa mkate huishia kwa chai
Si twende kibanda
Read Other lyrics by Kelxfy here
Vijana Baru Baru Biography
Vijana Barubaru also known as V-Be is a music duo from Kenya made up of Tuku Kantu and Mwana wa Wambui. They became popular after their song “Sasa Hivi” featuring Ashley Music went viral in 2022. debuting at Youtube Number 5. You can now follow Vijana Barubaru on Instagram @vijanabarubaru.

2 Comments