Bensoul ft. V-BE – Kautamu Flani Lyrics

Check out “Kautamu Flani” lyrics by Bensoul featuring Vijana BaruBaru (V-BE) on Kelxfy.
Kautamu Flani Lyrics
Nimeguzwa mahali, kautamu flani
Papa Soul, Vijana Barubaru yeah
Ukinipanda hauwezi shuka (Shuka)
Hii kitu haiwezi ruka (Ruka)
Kutoka haiwezekani hunny
Kwangu ni kwako mbali
Hata ufungwe shuka (Shuka)
Wakushuke matuta (Tuta)
Nakuoneanga mbali
Mimi ndo mwenye mali
Nataka tabibu anitibu
Ju mwalimu anajibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time body and soul
Ona majaribu, ya usiku
Unainama sina nguvu
Mwenzako sina hali hali hali
Usiende mbali, mbali
Nimeguzwa mahali, kautamu flani
Na kama ni wewe
Ongeza mpaka nilewe
Utulivu wa bahari
Kautamu flani
Na kama ni wewe
Ongeza mpaka nilewe
(Nilewe…)
Yeah yeah aah!
Zangu zikishuka
Nakuita unalift my mood
Umenitepa na umekwama kwangu
Nikiwa mavitu nipe vitu zangu
Yeah zangu haziezi shuka
You complete upumbavu wangu
Mama mia tumia mamia zangu
What a sight I got my eyes on you
I close my eyes akilini nawaza
Furaha nitaipata vipi
Meza yangu inahitaji viti
I speak my heart
Nimekosewa na ma human pride
Na nimeona vile love is blind
I pray to God nisimiss my sight
When love comes my way
Nataka tabibu anitibu
Ju mwalimu hana jibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time, your body and soul
Ona majaribu ya usiku
Unainama, nasimama
Mwenzako sina hali
Usiende mbali
Nimeguzwa mahali na kautamu flani
Na kama ni wewe, ongeza mpaka nilewe
Utulivu wa bahari, kautamu flani
Na kama ni wewe, ongeza mpaka nilewe
(Nilewe…)