Vijana BaruBaru – Mapangale (Kata) Lyrics ft. Motif Di Don
Check out “Mapangale” lyrics by Vijana BaruBaru featuring Motif Di Don on Kelxfy. “Mapangale” is a dance style & phrase that was coined by MC Zendiambo.
Mapangale (Kata) Lyrics
Ni Vijana Barubaru
Leo ni Mapangale
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Girl pull up Fi mi bumber, I like your mini dress
Wiggle like pasta, move to the bass
Raha unatafta, ntakuonyesha base
Zikishika ntakushika kam tuanze race
Vile DJ anaspin, tutafika cloud nine bila pin
Partner in crime, wenye dhambi kwenye scene
Vibe zinaflow kama maji zama in
Usimind utukutu nilianza zamani
Why lie, we ndo apple of my eye
Ka unadai, ntakugongea mayai
Sai sai, uki order haikai
Ukiitisha wholesale nakupunguzia price
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Tukate maji
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Leo tukate maji na mapangale
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Leo tukate maji na mapangale
Mapangale, Mapangale
Ona ka uko njaa njoo tu bake
Nku serve tu masaa, ya bon appetit
Nkushikie makali unishikie kamote
Mbona tusisele leo ni mapangale
mwaga jasho mdogo mdogo
Kioni chini embe dodo
Kisparki ki slomo
Alafu upinde mgogo
Wine on me nka unadadia za pay day
Come for me nki whisper ni may day
Mkono kwa mdomo
neighbor apendi Kelele
Towel kwa godoro
Splash iwe wavy
Bad manner
Wathani ni Nineveh
Ata kukiwa njeve
Tulale ndethe
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Aaaaaaa aah aah ah aaah
Unadunda pande Gani
Tupatane saa ngapi
Tukate maji
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Leo tukate maji na mapangale
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Mapangale, Mapangale
Leo tukate maji na mapangale
Mapangale, Mapangale