We Are Nubia – DND Lyrics ft. Zaituni Wambui

Check out “DND” lyrics by Nubia featuring Zaituni Wambui on Kelxfy.
DND Lyrics
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Ile swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Ile swali yako leo nakupatia jibu
Nini umeficha niko curious
Can I get to see it?
Your body on my body
And I promise you, I will make you sing
Such a different feeling
When you put it on me now
Kuja nikuonyeshe, joto tupoeshe
Baby legeza, nikupe mapenzi
It’s just you and I, bila watu wengi
Privacy DND love
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Siwezi ficha hisia zangu
Naitaka kwanza naitaka sana
Usiseme mpenzi hujaonywa
I’m the genie in the bottle
Na unajua what to do
I promise I’ll be good
Promise it will be just me and you
Unachotaka sema tu
Cause I’m stuck to you like glue
Ikibamba basi nipe tena, tena
Hakuna kulala mpenzi ni kukesha
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Si unajua masaa ni machache
Ukionja utajua ladha yake
Take me high to the moon nifikishe
If you let me, nibembeleze
Nibembeleze
Niamini nikudekeze
Baby nibebe, na ukiteleza
Sitakuwacha chini
Baby legeza, nikupe mapenzi
It’s just you and I, bila watu wengi
Privacy DND love
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu
Dalili dalili ya mvua ni mawingu
Hio swali yako leo nakupatia jibu