Chege ft. D Voice & Billnass – Sir God Lyrics

Check out “Sir God” lyrisc by Chege featuring D Voice & Billnass on Kelxfy.
Sir God Lyrics
Halali wala hasinzii
Haniachi peke yangu, Mungu baba
Wananiombea shari, hazinifikii
Ananilinda, Mungu Baba
Tushapita haso tushabeba zege
Ugali madondo wa kwa mama Chege
Right now tuko hapa
Tumeshajipata, hakuna mashaka
Matata ooh, mashaka ooh
Na kuna watu hawataki twende
Roho mbaya haijengi wanaforce wajengee
Ila tuko hapa, right now tuko hapa
Hakuna mashaka, matata ooh, mashaka ooh
Wanang’ang’ana ku force
Kwenye njia si tupotee
Ila sir God akipanga lazima litokee
Okay, okay
Huezi shindana na Sir God
Wanashindana na Sir God
Usishindane na Sir God
Kwa maana kasha-bless
Blessings over blessings
Huezi shindana na Sir God
Wanashindana na Sir God
Usishindane na Sir God
Kwa maana kasha-bless
Blessings over blessings
Kama unateseka, we toka hapa
Roho yako mbaya, we toka hapa
Kama unateseka, we toka hapa
Roho yako mbaya, we toka hapa
Alhamdulilah “Alhamdullah”
Mlipanga nifail lakini sipotei
Mungu wangu yu Hai
Anazidi nibariki ye ndo final say
Nibariki, Sir God
Vipesa vya kodi
Vimia mia mbili mbili
Nisitiri nisizikose
Eh nyie Mungu huyu
Sio baba yako “hallelujah”
Kwanza hapangiwi, anafanya atakacho
Eeh nyie Mungu huyu
Sio baba yako
Wanaonionea wivu, sa wanakula kwa macho
Baraka za Mola na Bi. Mkubwa (eeh men)
Zilizofanya nisurvive mjuba (eeh men)
Na ukitaka tu tupishane lugha (eeh men)
Nizingue kwenye mkwanja afuuba (eeh men)
Kitambo mi nazichanja mbuga
Nitapoteza saa ila sitapoteza muda (eeh men)
Kazi ni kubwa, tushakuwa wakubwa
Achia watoto wacheze zao buga (eeh men)
Sina wivu, sina wivu sina jealousy
Naona watoto wanaingia mpaka njia sio
Sina wivu, sina wivu sina jealousy
Waambie walipoingia watatokea sio
Sina wivu, sina wivu sina jealousy
Maisha yenyewe ye kibongo
Watu hawana dogo
Ukiwapa kisogo
Wanazitema nyongo
Wanang’ang’ana ku force
Kwenye njia si tupotee
Ila sir God akipanga lazima litokee
Okay, okay
Huezi shindana na Sir God
Wanashindana na Sir God
Usishindane na Sir God
Kwa maana kasha-bless
Blessings over blessings
Huezi shindana na Sir God
Wanashindana na Sir God
Usishindane na Sir God
Kwa maana kasha-bless
Blessings over blessings
Kama unateseka, we toka hapa
Roho yako mbaya, we toka hapa
Kama unateseka, we toka hapa
Roho yako mbaya, we toka hapa