Chris Kaiga – Kameshika Signal Lyrics ft. Cedo

After a long music break, Kenyan artist Chris Kaiga returns with another track, “Kameshika Signal,” featuring Cedo. Read the song lyrics on Kelxfy.
Kameshika Signal Lyrics
Kameshika signal, kameshika signal
Kameshika signal, kameshika signal
Kameshika signal, kameshika signal
Kameshika signal, kameshika signal
Itisha tumbler, ka haijashika signal
Acha ishike ladha, iskie kwa kisigino
Mataptap zinafanya wana tippy-toe
Ma bum bum zinapandisha ma libido
Under ma substance, na maji minimal
Naskia utam kama Bobby Cash na VBO
Piga shot kama camera hadi maini i-pause
Naskia raha ndani ya roho na my knees and toes
Kameshika signal (kameshika kameshika)
Kameshika signal (kamenice)
Kameshika, kameshika signal
Kameshika signal (imeweza)
Kameshika (toa form), kameshika signal
Kameshika kameshika, kameshika signal
Kameshika, kameshika signal (kamenice bana!)
Kameshika signal
Leo naita meeting kwa club, si ofisi (hapo sawa)
Happy hour na HR, team building (jenga team)
Kando ya Biggie tuna-puff, no Diddy (kando ya nani?)
Accountant wa magwang mbili mbili (huezi come)
Vibe CEO konyagi na ma Singleton (hapo sawa)
Niwai Indie zone nikisiagiwa ma digital (utaniwai)
High kuliko rubani ako Wilson (niko high)
Fry juu tuko mafutani kama Bidco (niko madoh bana)
Kameshika signal (kameshika kameshika)
Kameshika signal (kamenice)
Kameshika, kameshika signal
Kameshika signal (imeweza)
Kameshika (toa form), kameshika signal
Kameshika kameshika, kameshika signal
Kameshika, kameshika signal (kamenice bana!)
Kameshika signal
Ibiwa kwa club bila piriton (pigwa dose bana)
Pimiwa kwa jug ka hupigi shot (utadai)
Tingisha madam ka amepigwa shock
Hii ni city mababa tafuta signal
Rada ni saa hii mambo ya kesho ni highlights
Prime time na warembo at nightlife
Under ma blank VIP tuki-hide white
Na mamgala wanachana jaba na white wine
Kameshika signal (kameshika kameshika)
Kameshika signal (kamenice)
Kameshika, kameshika signal
Kameshika signal (Imeweza)
Kameshika (toa form), kameshika signal
Kameshika kameshika, kameshika signal
Kameshika, kameshika signal (Kamenice bana!)
Kameshika signal