Odi wa Murang’a – Kwa Bar Lyrics ft. Fathermoh & Harry Craze
Check out “Kwa Bar” lyrics by Odi wa Murang’a featuring Fathermoh and Harry Craze. The song “Kwa Bar” is inspired by the viral “Mwalimu wa Math” TikTok video.
Kwa Bar Lyrics
Yeah! Odi wa Muranga, yeah ah
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Hapa pahali imefika, bado ijazama
Mta mtoto wa mode wa mao anachora saba
Viboko ulitupiga zinamramba
Ah akina Kevo wanamkulia shamba
Finger licking
Swinger, licking sweet
Finger licking
Chuom mi naua ua
Dem yako yukuita hunnie
Mi kwake maua
Ulikuja na nini kwa sahani
Ni jaba najua
Ati soft cut skin na yangu haivai bra
Na yangu hukua job kushinda mode wa math
Inang’aa inachafuka, inang’aa dada
Na ni long shinda kiki ya manzi wa Kibra
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Siku hizi mi hukula kile nadai, walai ticha
Siku hizi mi hushinda ndani ya ndae, nikizunguka
Siku hizi hadi landi yuniitaanga form, namzungusha
Siku hizi hadi nikichomanga kindom, siwezi jificha
Niko so so, ahead of my time
Huwezi nieka bro zone, ananipotezeanga time
Siz ya Mr. Mburu yutext kila time
Sikupenda mao ju ya kufloat kila time
Issa lie, issa lie, issa lie
Walai teacher
I’m fine, I’m fine, I’m fine
Si kuteseka
Issa lie, issa lie, issa lie
Walai teacher
I’m fine, I’m fine, I’m fine
Si kuteseka
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Akihema, akihema
Dem ako na big denda, big denda
Acha niwape sinema, sinema
Saa tano mchana na bado mimi sijatema
Penye tumetoka huwezi guess ni wapi
But penye tumefika unaeza tell ni wapi (Kwa bar)
Mzinga zinadedi ka ni ajali
Skiza Neo kwanza venye anabonga kilami (Nonsense)
Mode nilimpata kama amezima
Akapoteza macho akadhani hakuna stima
Siku hizi zabe kazi ni kuririma
Kuamka kung’ara na kuchoma liver
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)
Mode wa mao (yeah yeah)
Alisema hatuendi mbali
Hapa ni wapi? (Kwa bar)
Mzinga ni ngapi? (Ah mzinga nga nga)