Diamond Platnumz “Nitafanyaje” Lyrics with Translation

Tanzanian artist Diamond Platnumz has released his new single titled “Nitafanyaje” which is a . Check out “Nitafanyaje” lyrics on Kelxfy.
Nitafanyaje Lyrics
Siwezi sema kitandani
Labda umasikini wangu
Ndio kilonishusha dhamani
Wadhaminike wenzangu
Siwezi sema sikujali
Labda vizawadi vyangu mimi
Havikufikia ukubwa
Wanavyotoa wenzangu
Kinachoniumiza ridhiki hugawa Mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo post zake na wenye nguvu la dollar
Oooh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana
Sema nitafanya nini
Ndo hivyo nitafanyaje
Ila nitafanya nini?
Ndo hivyo nitafanyaje?
Nashikwa kigagaziko
Kila nikiingia chumbani
Sijui nilalie tandiko
Ama sakafuni yaani
Nacheka tu kwa nje ndani masikitiko
Sababu pendo lako honey, bado lipo
Eeeh eh…
Kinachoniumiza ridhiki hugawa Mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo post zake na wenye nguvu la dollar
Oooh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana
Oya Dj Dj hii ngoma iweke repeat
Maana inatupa stimu na wanangu kuililia kijiti
Oya Dj Dj hii ngoma iweke repeat
Asa jitie wazimu kuitoa tuuzime mziki
Kwa maana inatupa (Vibe)
Eh inatupa (Vibe)
Wanangu inawapa (Vibe)
Eeh inawapa (Vibe)
Machizi boti wanapata (Vibe)
Eeh wanapata (Vibe)
Na bebe zinapata (Vibe)
Eeh zinapata (Vibe)
Namnem mwanangu kwa upande wa khanga
Nilitamani tenge ila sijajipanga
Namnem mwanangu kwa midabwada mwenzio
Nilitamani maless ila ndo sina salio
Mama yooh, mama yooh (wamenitenda hawa kausha damu)
Ooh mama yooh, mama yooh (wamenitenda hawa kausha damu)
Mama yooh, mama yooh (wamenitenda hawa kausha damu)
Mama yooh, mama yooh (wamenitenda hawa kausha damu)
Asaa waiteeee eeh
Oya makofi kigogo nipe mawili
Kama haujatumika sana sehemu za siri
Kama sio mlogazila shepu asili
Sa nipe ya kibunge bunge utitiri twenzetu
Asa good walete, walete hapa kati
Walete haoo..walete hapa kati
Walete hasa…walete hapa kati
Walete haoo..walete hapa kati
Tunacheza mpaka saa ngapi
Tunacheza..Mpaka asubuhi
Tunaruka mpaka saa ngapi
Tunaruka..mpaka asubuhi
Nipe tena… bado sijaona
Nipe tena… bado sijaona
Nipe tena… bado sijaona
Nipe tena… bado sijaona
Eeeh umelewa…aah unayumba
Eeh umelewa… aah unayumba
We toss umelewa
Sa mbona unayumba?
Aya kunambi umelewa?
Asa mbona unayumba?
Oya wahuni wana namba zao zinaitwa (Arobaini na tano)
Wanangu wana namba zao zinaitwa (Thelasini na mbili)
Masela wana namba zao zinaitwa (Ishirini na sita)
Oya kuna wengine hawana namba ila chokoza
We mama Dangote (Wasafi)
Oyaaa!
Ni excellent vyema tiki
Ama kwa kizungu Good
(Kwa Mix Lizer)
Nitafanyaje English Translation
I can’t say in bed
Maybe my poverty
That’s what made me lose my confidence
Trust me, my friends
I can’t say I didn’t care
Maybe my gifts
They did not reach the size
As my colleagues give
What hurts me, God gives satisfaction
It would be me why he would moan
And really bad, friend they draw me
For those posts of his with the power of the dollar
Oooh mi my heart mom
You see pain
My partner is my heart
He hurts her a lot
Tell me what I will do
So how do I do it?
But what will I do?
So how do I do it?
I am caught in a dilemma
Every time I enter the room
I don’t know if I should sleep in the saddle
Or on the floor that is
I’m just laughing on the outside, I’m sad inside
Because your love, honey, is still there
Eeeh eh…
What hurts me, God gives satisfaction
It would be me why he would moan
And really bad, friend they draw me
For those posts of his with the power of the dollar
Oooh mi my heart mom
You see pain
My partner is my heart
He hurts her a lot
Oya Dj Dj put this song on repeat
Because it gives us steam and my sons cry for it
Oya Dj Dj put this song on repeat
Asa make yourself crazy to take it out let’s turn off the music
Cause it gives us (Vibe)
Eh gives us (Vibe)
My sons give them (Vibe)
Eeh gives them (Vibe)
Machizi boats are getting (Vibe)
Yeh they get (Vibe)
And the babies get it (Vibe)
Eeh they get (Vibe)
Namnem my son on the side of Khanga
I wanted to separate but I have not planned
Namnem my son for worship partner
I wanted less but I don’t have the balance
Mama yooh, mama yooh (they’ve treated me like blood)
Ooh mama yooh, mama yooh (they’ve treated me like blood)
Mama yooh, mama yooh (they’ve treated me like blood)
Mama yooh, mama yooh (they’ve treated me like blood)
Asaa call it eeh
Give me two big claps
If you haven’t used private parts much
If it is not the original shepu
Please give me the parliamentarian’s cooperation
Asa good bring them, bring them here in the middle
Bring them there..bring them here in the middle
Bring them especially…bring them here in the middle
Bring them there..bring them here in the middle
What time do we play until?
We play..Until the morning
What time do we fly?
We fly..until morning
Give it to me again… I haven’t seen it yet
Give it to me again… I haven’t seen it yet
Give it to me again… I haven’t seen it yet
Give it to me again… I haven’t seen it yet
Eeeh you are drunk…aah you are swaying
Eeh you are drunk… aah you are swaying
We toss drunk
So why are you swaying?
Are you drunk?
Asa, why are you swaying?
Oya the hooligans have their numbers called (Forty-five)
My sons have their numbers called (thirty two)
Masela have their numbers called (Twenty six)
Oya, there are others who don’t have a number but provoke
We mama Dangote (Pure)
Oyaaa!
It is excellent
Or in English Good
(For Mix Lizer)