Femi One – Excuse My French Lyrics
Check out “Excuse My French” lyrics by Femi One on Kelxfy. Femi One is one of the most consistent Kenyan artist “Excuse My French” is a rap song that she raps about how she has been reaching greater levels with her music career. From bagging sponsorships to having some of greatest hits and albums.
Excuse My French Lyrics
Yeah..
Waliona simba imenyeshewa
Wakadhania ni paka ya nyumba
Ng’a! Wakamangwa dharura
Saizi wamekaa kwa ambulance
[wiu! wiu! wiu!]
Angalia upuzi
Nanii haamuki
Hali mahututi
Yaani kwa ufupi
Ukija vibaya unaezwa fanyiwa ujuzi ayyyy
Skwodi ni… tight
Juu ya phone all night
Mi na Kaka Em every day tupo site
Tukibonga mikakati
Suti za Versace na cufflinks-
Bossy! Hugo juu ya ngozi
Smellin all saucy
Neck is on frosty
Nakumbuka siku zenye msosi ilwaga costly
Leo nakula sushi! – what it gon cost me?
(Cost me)
Nlikuanga naandikia beat na unenge
Unaeza tell juu naspit na uzembe
Sijadishi tangu siz anijenge
Kisoh nkajifikisha kwa Rick wa madebe
Saizi nina ngiri nich kwa Empepe
Ya bundles ingine kwenye jeans kuna venye
Syezi ngoja hawa mabitch wanipende
Nianze kunyonywa na maleech na mamende
Oooooh! Excuse my French
Tendency to lose my sense
Niko juu ya come up
And I’m paying all the dues myself
Lemme introduce myself
Oooooh
Excuse my French
Tendency to lose my sense
Niko juu ya come up
And I’m paying all the dues myself
Lemme introduce myself
Very sick na najua mmecheki symptoms
Me ndio reason a ma rapper wana seem soft
Dennis Pritt ndan’ya whip nikirespond
Nna receipts wanasimp pale inbox
(Oooh) Staki risto
Skiza mbleina akibonga juu ya hip hop
Ni the audacity kunieka na mawannbe
Mcee wamedevelop personality kwa tik tok…
First hit tippy toe feat Kristoff
Meet a young queen still skill’lwaga tip top
Nikachange scene industry ilwaga switched off…
Femcee juu ya list ya ma hitsong
Pesa ni fit
Tumemake mill na maenergy drink
Mi na watiaji, never in sync
Kutumia akili akuna membership fee
Watu macartoon kama sesame street
Oooooh
Excuse my French
Tendency to lose my sense
Niko juu ya come up
And I’m paying all the dues myself
Lemme introduce myself
Oooooh
Excuse my French
Tendency to lose my sense
Niko juu ya come up
And I’m paying all the dues myself
Lemme introduce myself
Taja rapper akona views over ten em
Ni bidii na consistency ya ten men
Ka unataka journey easy kuwa ben ten
Ata masponsi upiga tizi kujimaintain –
Too damn clean, move ka queen
Nyiungiza baridi minna flu vaccine
Miutema martini na nadrool caffeine
Nani kama mimi tuko through that scene –