Trio Mio – Occupy The Streets (Freestyle) Lyrics
Check out “Occupy The Streets (Freestyle)” Lyrics by Trio Mio on Kelxfy. “Occupy The Streets” is a Gen Z street anthem that speaks about rejecting the Finance Bill 2024. In the song, Trio Mio shows his solidarity with the GenZ as seen in the lyrics.
Occupy The Streets Lyrics
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Ndo mtulole, ndo mtukembe
Ndo mtucheki, ndo mtuskize
Ndo iwashike
Tuna occupy the streets
Nmeshow goshodo akatembeze
Akajam, mbona?
Sihitaji ngwati, serikali
Ishaninif* proper
Niko juu ya gwethe anaku riku ndani ya gut stomach
Ni hewa tupu niko na abs juu ya njaa, ona!
Too broke to buy your lies
Sometimes nakaa nawish you could choke on iodine
And get strokes that blind your eye
You folk should fcking die
Bottom up ni nyi top mkituchai, eh
Tax MPESA, tax mkate, ongeza pad za females
The audacity mnatax adi for cancer treatment
Ni manifesto ya mahustler ndo inabuukda masoo
Tax madiaper mnaeka tax juu ya shit ya mtoto
I think it’s funny how
Mnaongeza ushuru kwa vitu zitaumiza sana
Ghetto children na mafamily zao
Tulieka imani kwao
Mkatumia scriptures kutuchocha
Saizi cheki ni wananchi wamewekwa money cow
Hamjui injili nyinyi
Ni mehemehe mingi
Mmekuja ghetto lini
Mkitupea ma 50
Bei ya finance mnaweza roll
Ikuwe small kama smocha
Na ukalie
Mheshimiwa sikutambui mimi
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Ndo mtulole, ndo mtukembe
Ndo mtucheki, ndo mtuskize
Ndo iwashike
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Ndo mtulole, ndo mtukembe
Ndo mtucheki, ndo mtuskize
Ndo iwashike
Tuna occupy the streets
Hizi streets sisi ndo wenyeji
Hizi streets sisi ndo wenyeji
Achieng’ Oneko didn’t die for this sht — didn’t die for this sht
Mathai Wangari didn’t die for this sht JM Karis didn’t die for this sht
George Anyona didn’t die for this sht Dedan Kimathi didn’t die for this sht
Mzee Jomo didn’t die for this sh*t
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Ndo mtulole, ndo mtukembe
Ndo mtucheki, ndo mtuskize
Ndo iwashike
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Tuna occupy the streets
Ndo mtulole, ndo mtukembe
Ndo mtucheki, ndo mtuskize
Ndo iwashike
Tuna occupy the streets