Lil Maina – Katika Lyrics
Read “Katika” lyrics by Lil Maina on Kelxfy.
Katika Lyrics
Mbona uko shy venye wewe ni karembo
Kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo
Cheki baby, katika
Mbona uko shy venye wewe ni karembo
Kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo
Cheki baby, katika
Ati STUNNA
Ni stunna jina kubwa
Better than yesterday
Ni stunna jina kubwa
Manze what can I say?
Cheki venye wanafyat wakinicheki kwa stage
Stunnama ni msimple yaani
Toss to the air, kama unakula genge money
Na toss kama unaembrace mamanzi kwani
Shots ngapi tumerusha wakarudisha yaani
Strictly nikipata ninarusha kama quarter back
And mid-s*x you know that I hit it from the back
Big cheques niki-sign buda nikipewa guap
Funny venye ganji zimefanya nipatiwe wap
Na si Skillibeng
Dem anadai she has never seen richer men
Na kama jo si mimi itakuwa aje them
Another banger toka stunna
I got hits jo my men
I got hits jo my men
Mbona uko shy venye wewe ni karembo
Kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo
Cheki baby, katika
Mbona uko shy venye wewe ni karembo
Kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo
Cheki baby, katika
About “Katika”
“Katika” is a feel-good vibe song by Lil Maina released on August 12, 2024, months after releasing his debut album “Maisha ya Stunna” and his biggest hit this year “Nakam Sai“. Lil Maina remains as one of the most influential artist and outstanding Gen Z artist and recently linked up with together with Sosa The Prodigy, YBW Smith and Danski to form Watoto Wakorofi.