Gnako ft Diamond – Komando Lyrics
Check out “Komando” lyrics by Gnako featuring “Simba” Diamond Platnumz on Kelxfy. “Komando” is an amapiano-themed hype song.
Komando Lyrics
Mmmmh yeah! Yeah! Waraah!
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
We zombie!
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
Haujui?
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
We zombie
(Leo lion simba na!)
Na simba la masimba Dangote
Omalicha, omalicha..!
Ka kiwowowo feki unatingisha
Unaona sifa, tu misifa
We endelea kuzigida utazilipa
We jifanye born hapa (Mzaliwa)
Na chako tukikitaka (Kinaliwa)
Wanangu lu bin papa (Maziwa)
Japo fulu hilo mibata (Unalia)
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mloachwa (Poleni)
Mnaodaiwa (poleni)
Msio na baby (Poleni)
Mkakojoe (Kalaleni)
Komando, komando, komando
Waambie sisi ndo vipesi komando
Komando, komando
(Waambie sisi ndo vipesi komando)
Komando sisi komando
Waambie sisi ndo vipesi komando
Komando, komando
(Waambie sisi ndio vipesi komando)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipesi komando)
Kanfuma na katoto ka Tanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto (Eeeh)
Kanfuma na katoto katanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto
Abahtiee, abawena!
Oh my queen, nipe tena
Apa chini, shuka tena
Ona nini.? unahema.!
Mchepuko leo nae kasalitiwa (Wah)
Mke wa mtu sumu kuna maziwa (Wah)
Kuna maziwa na kutaitiwa
(Tiwa savage)
Umealikwa, hujaalikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Kwenye milima na mabonde panapitika
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mloachwa (Poleni)
Mnodaiwa (poleni)
Msio na baby (Poleni)
Mkakojoe (Kalaleni)
Komando, komando, komando
Waambie sisi ndo vipesi komando
Komando, komando
(Waambie sisi ndo vipesi komando)
Komando sisi komando
Waambie sisi ndo vipesi komando
Komando, komando
(Waambie sisi ndio vipesi komando)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
Ka Big G,
Yaani utamu ka Big G (Eeeh)
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipesi komando)
Kanfuma na katoto ka Tanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto (Eeeh)
(Kwa Mix Lizer)