Kontawa ft Jay Melody – Mbalamwezi Lyrics
Check out “Mbalamwezi” lyrics by Kontawa ft Jay Melody on Kelxfy.
Mbalamwezi Lyrics
Mi na wewe kabla hatujawa wapenzi
Tulikutana club ukanipa one night stand
Ile siku nilikuwa na maumivu kishenzi
Me na ex wangu ndo tuliachana stand
Nilikuwaga nauza banga na vijiti
Nilijitoa sana ili mradi ye aishi
Eh! Ila bado alinicheat
Sa ningefanya nini na nilimfuma na polisi
Kumbe mapenzi siti ya daladala
Kashuka yeye umepanda wewe
Hata nikiwa na njaa usinipe chakula
Mama nataka nikule wewe
Niseme kweli sijielewi
Raha za hii sayari ndo zimenichanganya mi
Haya mapenzi ibaki kheri
Kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
Unang’ara kama mbalamwezi
Ata nikilala nakuota mpenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yaani unang’ara kama mbalamwezi
Unang’ara kama mbalamwezi
Hata nikilala nakuota mpenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani unang’ara kama mbalamwezi
Kwangu anacheza mwenyewe
Sitaki ata nimchezee
Wenzenu tumepanda basi
Tuko road tunaenda uzee
Hata kama wachawi ni wengi-ii
Siwezi kumficha yeye sio bangi
Anapo nishika mwenzenu mi-ii
Napiga mabao kama vile Haaland
Yeye nakumbuka aliniambia
Anapenda uvuvi kupiga makasia
Istoshe baba yake baharia
Ndo maana akija gheto huwaga ananivulia
Mama mapenzi siti ya daladala
Kashuka ex umepanda wewe
Hata nikiwa na njaa usinipe chakula
Mama nataka nikule wewe
Niseme kweli sijielewi
Raha za hii sayari ndo zinanichanganya mi
Haya mapenzi ibaki kheri
Kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
Unang’ara kama mbalamwezi
Hata nikilala nakuota mpenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yaani unang’ara kama mbalamwezi
Unang’ara kama mbalamwezi
Hata nikilala nakuota mpenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani unang’ara kama mbalamwezi
More lyrics on Kelxfy.