Mr Blue Baby Boo lyrics ft Ibraah & Baddest 47
On Kelxfy, you can check out Baby Boo Lyrics by Mr. Blue featuring Ibraah and Baddest 47.
Baby Boo Lyrics
Mikono naitupa tu nikimwita naitupa tu (kulee aah kuleee)
Ilo somo analokupa tu
hayo mapenzi anayokupa duuh
Shule aah shulee
Ameniganda kama superglue aking’ata kama ouh
Mtoto yule ah yuleee
Namvunjia kibubu nikate pochi
Mtoto ukale zabibu ukale misosi
Kwenye mechi nacheza taratibu sipigi dochi
Mtoto bado dent njoo kwa kocha nikukochi
Kipindi chako cha mapenzi nakihost
Napicha zetu zau…nazipost
Namwaka huu bata zenj au costbeach live kwenye boti
Beba swimmingcost
Kama unantekenya
Nako kashepu kakusengenya
Inama tuone kama itapenya
Njoo tucheze adiselema baby
Magongo nshatupa kilema
Weekend twende cinema
Kama mayele nitatetema nitatetema
I wanna see for you
Boo boo baby boo
Boo baby boo
Boo baby boo
Yani umenikoreza
Boo boo baby boo
Boo baby boo
Boo baby boo
Boooo
Chagua we kishtobe ukalishe twiga ama ukaoge na kobe (we weee)
Amua we nistoke hainaga shida ntasema tu kunatope (we)
Afu so mrembo tu anarembeka (wee)
Anaitika dady arabeka (wee)
Anaishika nanii anaweka (wee)
Anachuchu dede anadeka (aaah weka)
Weka mama la mama (weka)
Weka ulichorithi huko kwa mama (weka)
Weka manyamanyama weka weka (aanh weka)
Weka mubebe (weka)
Weka alafu ijae mukebe (weka)
Weka mubebe (weka)
Weka weka (aaanh weka)
Kama unantekenya
Nako kashepu kakusengenya
Inama tuone kama itapenya
Njoo tucheze adiselema baby
Magongo nshatupa kilema
Weekend twende cinema
Kama mayele nitatetema nitatetema
I wanna see for you
Boo boo baby boo
Boo baby boo
Boo baby boo
Yani umenikoreza
Boo boo baby boo
Boo baby boo
Boo baby boo
Boooo