Iyanii – Cheat on Me Lyrics
Check out Iyanii new song “Cheat on Me” lyrics on Kelxfy.
Cheat on Me Lyrics
If you play me, I play you tunasameheana
(Iyaanii yeah yeah)
Siku hizi love, imekuwa nipe nikupe
Uko na nothing to offer, basi shughli we jipe
Tena siku hizi love, no strings attached
We can be friends with benefit
Or in an open relationship
Ukitoka uende dunda
Mi naweka bash kwa nyumba
Uko na mbaba Juja
Mi niko na mmama Runda
You have a bestie I have one too
Ukinicheza nitakucheza tu
Here for a good time
And not a long time
If you cheat on me, I cheat on you
Tunatudiana
If you play me, I play you
Tunasameheana
Mapenzi ya siku hizi
New school kama CBC
Mapenzi ya siku hizi
Hatufuatani ABC
Naskia we ni player
Nice to meet you am the coach
Na niko ready ku-share
Incase you don’t know
Kitabu unasoma ni mimi nimeandika
Ukicheza local, mi nacheza Europa
Tit for tat is a fare game
Ka we ni player baby tuko the same
Vaa jezi mchezo iendelee
Tujue nani Messi
Ukitoka uende dunda
Mi naweka bash kwa nyumba
Uko na mbaba Juja
Mi niko na mmama Runda
You have a bestie I have one too
Ukinicheza nitakucheza tu
Here for a good time
And not a long time
If you cheat on me, I cheat on you
Tunatudiana
If you play me, I play you
Tunasameheana
Mapenzi ya siku hizi
New school kama CBC
Mapenzi ya siku hizi
Hatufuatani ABC
If you cheat on me, I cheat on you
Tunatudiana
If you play me, I play you
Tunasameheana
Mapenzi ya siku hizi
New school kama CBC
Mapenzi ya siku hizi
Hatufuatani ABC