Rosa Ree ft Mbogi Genje – Awuoh Lyrics

Tanzanian rap sensation Rosa Ree has come out with another banger called Awuoh, featuring Kenyan Gengetone duo Mbogi Genje. Check out the song lyrics below:

Awuoh Lyrics
Man ah generali, ahaa
(goddess)
It’s Rosa Ree
Mbogi ni Genje
Mtaani kwetu sisi wote ni mangangare
Mpaka manyau na madoggy ni marasta
Kwetu washosho wanatafunanga jaba
Tukikata mboga tunatumia mapanga
Ngwethe jing, ghetto nawafling
Umojing rima ya wazing
Mukuru kwa mjenga ni baroda tu na drills
Kanakang’as mana milli mi ndo zingehe
Usione nimeng’ara ukaniomba hela
Baada ya wiki chache nimeamua kuoga
Kwetu mamanzi hawapakangi mapowder
Wanapiga makonyagi wengine wakinywa soda
Mi ni ule boy lazima waniekage DP
Mi hushinda nafanya wakuwe na deep hate
Niite gravedigger, napull up na kitrigger
Napuuliza ki deeper (deeper)
Mahead shots zitaja kunonstop
Ni design zimeriet sema tuko high top
Ka kidim lazima mi ndo nakilight up
Ka kidim mrozo na player nakilight up
Ngali mi kijenge mjengo kwa mrombo
Ngarna ni noma Tengeru na matejo
Usikatize kiboya mtaa ya ololoo
Utapigwa roba za mbao uimbe wapoloo (yoh mauni)
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Rosa Ree nakuteki bila rosa
Legolocha anariang ni kang’ethe
Ligi ghetto Prince kusadi ghetto genje
Muok dogo ntakurusha si Arusha
Utaidra na kukalas weh ni husgan
Fully genje na ukurasa ni ya anzakwa
Kumbe njavu hatuzache na warazi
Sacho chues tunawamocho waragiri
Rima ukigota tunakujibu awa
Vibes za wikendi ni kuzoza na miraa
Sakanya maganji hata kama ni Iran
Chuom kibira unaweza kula mamira
Kumewaka kaa irori kila zing very
Tumebeba vitu bad hii ndo ile geri
Kuchafua scene ukitumedi kwa telly
Si wanyama ni kativo za hapo serengeti
Huku kila zabe veve kanakanashi
Shikisha makonyagi medi na waragi
Base hapa tunazidi fyeka yakidi
Ghetto huku labda utembee na Rosa Ree
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Mbogi ni genjen mgumi ni mbwegze
Si hatuchekagi na makima mabwege
Chuga ka jamaica mechu gameika
Kakitu moshi mwingi kama aki na Popcaan
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Kaa radida ndo tunakimbiza madoo
Vibe ikibamba unaeza chachisha aro
Style ziko baka dika ni za masholoo
Auwoh chachisha arokaa radida
Ngoma inaweza