Spider Clan – Dera Lyrics & meaning
Kenyan musical group, Spider Clan is back yet with another banger titled “Dera”. I have transcribed “Dera” Lyrics on Kelxfy. Read the full lyrics & the meaning of most sheng words used in the song so that you may understand the song better. Also, Ngesh has a catchy interesting chorus find out what she is saying.
Dera Lyrics
Spider Clan aha (Dera)
Mbogi nei
Tumekam kimangoto (nduru)
Dera bila haga hio sio dera
Dishi titi fiti mada na mapera
Niambieni ka wazee wa vipara wanajua kudara
Ama tu ni kurara (rara)
Msupa amevaa dera rasa zinasonga
Afande amebeba ndenga njoti ni kunyonga
Spider Clan tunakam na msumeno
Rieng zetu kugwara, rasa bigi bigi na njegi zimewai
Mi hupenda msupa amedunga dera turi kubwa kama vuvuzela
Jicho nyanya kuwasoma kuwaroga cha lazima
Kuzitepa kuzikinda tukisonga
Na mambleina wakilandi tunawatoa siaka
Kuwasetua kama senke ya mogoka
Na mangwela kuziseti
[Mwasray]
Mwasray nacheza na emoji imebaki wamenyonji
Mi nitakuhoji utupe maoni
Gadamn leo ni kungori kufika Migori
Utasema sorry juu ya my story
Utadhani sherehe design tunasere na matire
Mi na ferrari wananiita jenerali mkali hatari
Venye nawachenga
Spider Clan mnataka anjera ama dera
Tunataka dera
Spider Clan mnataka anjera ama dera
Tunataka dera
Dera dera dera imetoka Mandera
Tumesunda vera, tuko na Pamela
Amevaa dera manze nitakudenga ka ni adenga
Kadem kana koti manze ni kahottie
Kanapiga toti za fourty
Mashuksha marothi manyash kuzikemba
Ndani ya pori kanafeel kako hori
Kako hori ndani ya pori
[Ngesh]
Dera bila haga hio sio dera
Dishi titi fiti mada na mapera
Niambieni ka wazee wa vipara wanajua kudara
Ama tu ni kurara (rara)
Dera bila haga hio sio dera
Mi nadishi titi fiti bila hizo macheda
Nyambisha kidum nitakubakisha kichungi
Hio machine, huyo manzi ndani ya team
Atakam kututii juu hio form —
Monday Tuesday kamedunga hio dera
Na warazi tuko fiti ata kama si kuburn
Na ni zabe kuna kinyambi adi prrr
Cheki nyash na ni biggy kuraruka
Spider Clan mbogi snipper toka Vasho
Na warazi inadi area kumonchoka
Measurements mtunei ni cha lazima
Ju ni clean hatuwezi kujipima
Niko area kuwasaka kujinauwo
Form ikijipa hakunauwo kulalisha
[Ngesh]
Dem wa Spider kama kawaida nakuja na mawaidha
Maitha pita na Wamaitha
Ka hujabeba wachana na dera achia Wanjera
Unakosaje nyuma? Kula majani kunywa mayai
Kuwa mfunny skiza banger, wacha pang’ang’a
We kienyeji ukikuja mjini usijione sana
Kuwa mpole ukidunga mini, usisahau ya ndani
Pale Gikomba na bei ya jioni
Moja gefao, mbili fourty, tatu chwani
La sivyo, rosecoco yako itageuzwa minji
Dera bila haga hio sio dera
Dishi titi fiti mada na mapera
Niambieni ka wazee wa vipara wanajua kudara
Ama tu ni kurara (rara)
Dera bila haga hio sio dera
Dishi titi fiti mada na mapera
Niambieni ka wazee wa vipara wanajua kudara
Ama tu ni kurara (rara)
The meaning of “Dera” by Spider Clan
After Spider Clan artist Ngesh became an internet sensation, many people are now loving her as an artist and were ready to support her musical career. Ngesh together with Spider Clan has released a song titled “Dera”. Dera is a Swahili word that refers to a type of cloth that is worn by ladies. Dera is mostly popular in the coastal region due to the hot climatic environment.
In Kenya, “dera” is fashionable and most ladies love to wear it. Due to this reason, most men love ladies who wear dera because it showcases their physical appearance. In this particular song, the artists (Banguz, Mguz, Mwasray, and Ngesh) sing to praise women who wear “dera” and appreciate the dera clothing.
Sheng words used & meaning
The song uses lots of sheng and there is a need to decode these sheng words. Here are some sheng words that you can find in the song and their meanings.
- Mbogi – Mbogi means a crew, a group of people who share the same interests.
- Pori – Pori means pockets.
- Mambleina – Mambleina means traitors.
- Ngori – Bad situation.
- Ndenga – A weapon; a gun, or a pistol.
- Warazi – Warazi means your enemies.
- Haga – Haga means behinds.
- Siaka – Siaka means to run faster
- Nyash – Nyash means behinds
- Vasho – Vasho is a short form of Naivasha, County 36 in Kenya.