Toxic Lyrikali – Sick Lyrics
Read “Sick” lyrics by Toxic Lyrikali on Kelxfy. A rising Kenyan rapper from the Eastlands, Toxic Lyrikali is taking over with his music.
Sick Lyrics
Mboka! Sick style! Tapika ni ka niko nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia nakufagilia
Si fear ju dunia huwa sphere
Wanasifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer
Siezi wa carry wakidandia career
Drip kama tear za Vybz Kartel
Fisherman nimewashika net
Eastside kitu si uongeza
Sue mbele ya suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life ka kipindi hii side, suicide
Kudhigidha E-Side
Kitu si uongeza, sue mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life ka kipindi hii side, suicide
Kudhigidha E-Side
Bare ya right, ukizua na beast kuhusu rights
Ka chengerere ukisumbua ndio naku tight
Combined uku mkia uende adi na line
Juu ya ngwai zimeshika ka skinny jeans
Ufikii hii ligi kama haufikirii mistari
Waezani so OB ndio plan B
Eliminate kama hausaidi side hii
Husaidii side hii
Songa kando kwanza we pikni
Na attract chura yako
Na si meda ati dick print
Wameingia chupa
Ju booster alipigwa tingli
Kucheza mei niwai za kusiaga mahindi
Ni cross nikutandaze msalaba
Flat tandaza matendo hakuna mjadala
Kill panganga ki-pharmacy nimejaza madawa
So ieke na rada
Ukiona mbang’a nadai ng’ada
Na kill pressure ni kaa niko na puncture
Kaza belt ka chuma si sag ka diaper
Nilishahisia mapema hao ma viper
Kuskuma gunga pia niku grind, grinder
Ka huwezi arch hio mechi na noa
Siwezi ku ghost na depo mbona una goa goa
Ki Saf naeza ku chai na bado nakuokoa
Utakojoa ukijaribu kuroroa
Ni kipindi ju jicha aliruka na ngito kwa balcon
Hii si holy ground usivulie njei sandals
Siwaingizi mkebe si kwa box si kwa carton
Msako ya East yuts wako picked random
Si compete na bado wako machungu na mimi
Ju niwa pili pili usilete huku ma feelings
Seki seki utasekiwa maupini
Nina jeshi nina waumini
Sick style! Tapika ni ka niko nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia nakufagilia
Si fear ju dunia huwa sphere
Wanasifia doba ya kwangu ikiwa kwa Pioneer
Siezi wa carry wakidandia career
Drip kama tear za Vybz Kartel
Fisherman nimewashika net
Eastside kitu si uongeza
Sue mbele ya suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life ka kipindi hii side, suicide
Kudhigidha E-Side
Kitu si uongeza, sue mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life ka kipindi hii side, suicide
Kudhigidha E-Side