Khaligraph Jones – Chocha Lyrics
Check out “Chocha” lyrics by Khaligraph Jones on Kelxfy. “Chocha” is a sheng word that means chasing clout.
Chocha Lyrics
Eti naskia…
Nyi hupenda kuchocha, sindio?
Acha tuchoche basi
(Big shout-out to Vinc on the beat by the way)
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja, landy ashakupa notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unawaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Check it it’s Omollo once again na injili wanapenda
Other than rapport bado ni mwili ninajenga
Doba napiga buda mithili ya benga
Popularity imefanya nibadili mamrenga
Bad mind kisirisiri anatengwa
An Omollo feature ni ka firifiri kwa demba
Cheki ule boy wa chili chili analengwa
Backup ya ma label ka Mekatilili wa Menza
Ukijibizana mtaa itakudhuru
Ukibishana naku-tax ushuru
Mlibanja sana hamtaki Uhuru
Sahi imebamba sana wapi nduru
Ehh hatuendi maandamano
“Baba inta-maintain kanyo kanyo”
Mr president ongeza miaka tano
Na nyi wakenya lazma mkuwe na msimamo
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupa notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unawaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema we ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Ndio upate views ubaki ndethe u may earn more
A Genge grammy tungeletewa na kansoul
Sahii kenya ni ka hakuna reggae ama dancehall
Ndo konshens ako ju ya ngwete hapo Sunford
We ball on a budget strictly
Hatupendangi burden sisi
Oyole ilifanya nijue ku-bargain fiti
“Free park” ndo only reason niko garden city
If they charge me na tailgate Mr. Partel
Vibes tu hauwezi taka beef na cartel
I had tu-make a choice either streets ama cell
Ju mtaa sikuizi maboiz wana-snitch na lapel
The new definition of kidungi
Umejipin? Ehh wee ni fundi?
Wee ni gangster? Uko na kikundi?
Shut the fuck up bro-olundi
Hehe mna-glorify chocha
Mumearibu mziki
Mnafanya hii job haikai mboka
Hii story haikai proper
Boy child anakapitia
Coz sahi hatujui ka Tory atawai toka
Bloggers hawa-verify story
To all the victims wako terrified sorry
Chocha imedu hii game ikae boring
Na nyi Mpasho bitch I hope you die slowly
(Bombo!)
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupa notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unawaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
Buda kila kitu chocha
Chocha chocha
Kila kitu chocha
Chocha chocha
Aaaah