Lil Felly – Ritho Lyrics ft Scar Mkadinali (Wakadinali)
Check out “Ritho” lyrics by Lil Felly featuring Scar Mkadinali (Wakadinali) on Kelxfy. “Ritho” is a sheng word that means staying alert.
Ritho Lyrics
Yeah! Eeh you already know men
(Madiwa Finest) Eh, mmh
It’s Lil Felly mayne
Scarde manze niko na Felly
You already know mayne
Young DreaMer Money Gang
Forreal forreal Rong Rende Mayne
Check-in, uh
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Game ni ngumu
So hata mkuje na drill hamuwezi toboa
Niliamua zangu ni hit and run
Sitaki stress ya ndoa
Wasupa siku hizi wamejaa vioja
Utadhani ndugu yao Makokha
Ndo maana hata on a house arrest
Lazima nitoke nje ya ndoa
Uh! Saahii ni mauwano I swear
Na siati I’m flossing
Kabla nikufe nda-crucify yeyote whoever crossed me
Underground na bado luku ni costly
Your favourite rapper aligwaya feature
Juu hapa angefichwa definitely
Ambia hao marapper nimekafunga
Bila kufungua nyuma
Sinanga huruma hapa unapigwa tisa
Hata kaa uko na kinde mbele nyuma
Na usitake nicheze kimimi
Juu utashikwa jo na kiwewe
Na mi’ ukinibeba ufala
Sijali unaishi wapi nashuka na wewe
Buda
Usijiite G na backpack jo
Unaibeba na mbele CBD
Mi hata DCI hawezi see ID
Ndio maana sinanga hii pupa ya fally
Ngeus wanajua mi’ huipiga aste aste
Hadi manzi wa beste sinanga teke
Afadhali anikute
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
[Scar Mkadinali]
Naleta bonge la vibe
Eeh wanajuanga ni mimi
‘Kunuki pombe ama ngwai
Scarde uko ma nini?
Alitaka nimwongeze as*
‘kambia daktari ongeza ma-tities
Ni ukweli mi sinanga class
Unadhani ni nani uwakulia maringi
Nikidunga lazima oroji
Ni mapuma juu ya riddim
Nina gunga rada ya zigi?
Mnakula rada ya sisi?
Ngeta ukileta mafeelings
Mi ni predator sijaikuwa victim
Tarumbeta italianga lini
Yangu ikiteta napata waumini
Cap, cap, cap
Naeza kupenda but siezi ku-trust
Gut guff gas
Hamjui kwanini natumia hizi stuff
F-ck F-ck F-ck
Mafans wamekuja kutuona tukidance
Kwa club packed up
Kwa stage mtu soo next time mtu panch
Uh, ukiniona kwa telly
Uh that’s not me
Anadai nionje punani
But that’s not biz
Ngware kwa call ya ‘FELLY
Nilimshow pass hio beat
I’m buying whatever you selling
Nyi ni mambleina that’s on Jesus
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Nimejieka fiti so hata nikisota
Wasupa hawaezi nikataa
Apart from Mimi ni lele
Pekee wanachota wasupa
Kuliko jo hadi ma-superstar
Shawty anafloss nilikuwa namtaka
Mshow nilikuwa nadaisha tu kumgwata
Na sidai mniamini hata,
Juu hata nikiwa mdogo
Nilikuwa na kinya ganji ya ngata
Na wakieka kibuyu alama naifuta
Buda, sijawahi change bado I’m naughty
Na nikichange bado ni noti
Usijiite goat juu uko na Goatee
Na fala alituma mtaasis akuje usoro akapigwa njoti
Uh,
Naona marapper sikuhizi walichoka
Bado niko soko na sitoki haraka
Juu sikutumwa na mama
Blunder nishawahi fanya
Nikuacha vajo aishike kabla jo haijazama
Na hata Kama haukufanya zoology
Kwa bed unajua mi’ mnyama
Buda! Bei imepanda naskia nihamie ikulu
Ambia huyo main-chick kaa si side-chick
Jo ningembulu
Siku hizi naishi bila shaka
Utadhani niko kwa zulu
Na-skill kaa hii your favourite rapper
Hawahi hata aende Honolulu
Bombo!
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Sijai kuwa beggar
Mi’ nikisota mi’ ujitenga (ah aaah)
Yangu ni tenga sawa
Yako haiwezi nijenga, (No, no)
Mafala walilenga
Bado niko Ritho na chenye na lenga
Chicks na Mimi bega kwa bega
Juu wanarada sio kapyenga, (Yezzir)
Eh, it’s Lil Felly mayne
Young DreaMer Money Gang
Check-in,
Forreal Forreal Rong Rende Mayne
Yeah mayne manze Kaa hauskizi
Lil Felly saahii manze s
Sijui unaskiza ni hizo mayne
Foreal, yeah,
Madiwa Finest, mmh
God is The Greatest
Yeah, God Bless Young DreaMer Mayne