YBW Smith – Tap Lyrics

Check out “Tap” lyrics by YBW Smith on Kelxfy. YBW smith is one of the fastest rising abantone artist, a member of Watoto Wakorofi.
Tap Lyrics
Tap tap nikipiga scene
Washanipeleka na rada nataka mtu real
Nimejipin abdala ako kwa zip
Kitu heavy duty inadai vitu big
Vile beat inasonga unagonga
Rombosa, kuna matha flani anataka kuniona
Nusu mita ndani ya pori ndo nifeel poa
Natrace hawa wapoa wanapenda kumochoa
Sare madem wanapenda kuropokwa
Sare madem hawajitumi kupata mboka
Daily kurombosa akiitishiwa ma-order
Ati baby girl treatment na ni horror
Ulizia mi ni nani napiga kama khalif
Leo nayo rada safi mbele ya macharji
Doba kali kali nimeshikilia umati
Collabo moja mbaya itafanya nishike gari
Utokwe mali safi atapigishwa malap
Manze akikutoka usidhani ataround
Akipigiwa na donga anaorder mpaka ride
Akutoke kabaridi magizani ukirelax
Alisema ako single kuna venye ananidai
Anapiga slow whine check time iko right
Venye anaride utasema ako high
Venye venye anadance ndo anacheza, cheza up
Tap tap nikipiga scene
Washanipeleka na rada nataka mtu real
Nimejipin abdala ako kwa zip
Kitu heavy duty inadai vitu big
Vile beat inasonga unagonga
Rombosa, kuna matha flani anataka kuniona
Nusu mita ndani ya pori ndo nifeel poa
Natrace hawa wapoa wanapenda kumochoa
Napiga steps kuna venye nawapea race
Nimeswitch lanes itabaki wamecatch pace
Checkmate itabaki wamechange game
Stay tuned kuna venye nimeset game
Feel free finya link ndo upate hits
Wanajua nimezoza sana nawapea ick
Ni mystery ndo maana wananiita beast
Ni big deal ndo maana wataiba beat
Skils nayo ni mob ata niache unisa
Street imejaa magoshodo wakulipwa
10K plus followers pale Insta
Ni ule dem flani kila ninja amelima
Niko DND niko rima za maingwa
Niko place flani nikitaja hauwezi shika
Niko DND denge yako alijipa
Tuko DND tuko keja kuririma
Tap tap nikipiga scene
Washanipeleka na rada nataka mtu real
Nimejipin abdala ako kwa zip
Kitu heavy duty inadai vitu big
Vile beat inasonga unagonga
Rombosa, kuna matha flani anataka kuniona
Nusu mita ndani ya pori ndo nifeel poa
Natrace hawa wapoa wanapenda kumochoa