Otile Brown – Terminator Lyrics
Kenyan artist Otile Brown new song “Terminator” released on 15 November 2022. “Terminator” is written and performed by Otile Brown, audio is produced by Thasoundz from Nigeria. Video directed by Jordan Hoechlin.
About Terminator: Terminator is a song about relationships and break-ups. In the song Otile tells the lady to take her divorce letter and go back to her mum.
Terminator Lyrics
Mapenzi ya siku hizi sio kama ya before
Unaeza wekeza kila kitu ulicho nacho
Mwisho ukatoka zero
Sina muda wa kuzuga sema ukweli wako
Maana maji yamezidi unga
Yamenifika kwako
Somebody tell me how to please a woman
Somebody show me how to please a woman
And I’m gone I’m away just to please a woman
Spend all my money just to please a woman
Ye ndo kisa ndo niko klabu
Kila siku ni masela na ulabu
Nyumbani hapakaliki taabu
Kesi mashitaka ninasomewa vitabu
Uyee nenda, nenda basi nenda
Hii hapa talaka yako, rudi kwa mama yako
Uyee nenda, nenda basi nenda
Hii hapa talaka yako, rudi kwa mama yako
Mmmh mmh terminator
Oooh, oh terminator
Oh ta terminator
Mmmh mmh terminator
Oooh, mmh terminator
Oh ta terminator
Mmmh mmh terminator
Mbona unacomplicate na maisha simple
Utaniua na stress na makasiriko
Mbona unacomplicate na maisha simple
Utaniua na stress na makasiriko
Somebody tell me how to please a woman
Somebody show me how to please a woman
And I’m gone I’m away just to please a woman
Spend all my money just to please a woman
Ye ndo kisa ndo niko klabu
Kila siku ni masela na ulabu
Nyumbani hapakaliki taabu
Kesi mashitaka ninasomewa vitabu
Uyee nenda, nenda basi nenda
Hii hapa talaka yako, rudi kwa mama yako
Uyee nenda, nenda basi nenda
Hii hapa talaka yako, rudi kwa mama yako
Mmmh mmh terminator
Oooh, oh terminator
Oh ta terminator
Mmmh mmh terminator
Oooh, mmh terminator
Oh ta terminator
Mmmh mmh terminator