Mondichino – Just a Case of No Matter Lyrics

Check out “Just a Case of No Matter” lyrics by Mondichino on Kelxfy.
Just a Case of No Matter Lyrics
Unataka hii na hii na hii, nifanye
Na pia hii na hii na hii, nifanye
Ka si stori na mulla
It’s just a case of no matter
Na sijui unajiona nani kwanza unipange
Unabanja mingi na yote kumbe ni nonsense
Ka si stori na mula
It’s just a case of no matter
Just a case of no matter
Kama vitu mimi hufanya nikiwa drunkard
Just a case of no matter
Kama after kuichapa sikuwai tena mpata
Rengwa kabla shughli nabonga na God
Nasali mi ni kijana ontop
Unataka nifanye nini na huchezi na mpepe
Unataka twende wapi na hujaniasha shada
Unakuwaga straight ama kombo
Mbona! Uko na tabia za kibombo
Unakuwaga straight ama kombo
Mbona! Uko na tabia za kibombo
Kuku yako ilikuja nilidhani ulifukuza
Sa ningedu? Nilibaki nimeikula
Hii, inataka hii na hii na hii haitoshi kula
Chunga mali yako ama mali yako itachungwa
Unataka hii na hii na hii, nifanye
Na pia hii na hii na hii, nifanye
Ka si stori na mulla
It’s just a case of no matter
Na sijui unajiona nani kwanza unipange
Unabanja mingi na yote kumbe ni nonsense
Ka si stori na mula
It’s just a case of no matter
Nakaaga high najaribu kufika pluto
Mind your own wachana na vitu huyuko
Nilikushow jo before sai haiwezi reform
Ulidhani nitastuck nilimove on
Mbona sa maringo na ati uko single
Mbona utumie dildo na hapa kuna free cock
Kam tuingie bed nikulalishe bila piriton
Mi huwanga ni terror nikifck nashika mshiko
Sillytone, imecook iwa na Chino
Inaburn pilipili ni mob
Spliff it all ndo hii kiko
Hanaku job tunaziwasha kutoka saa mbili hadi four
Feel it on, spirit on
Kick it off, eat it all, enda choo
Digital zao ni bomb, ni silly tone
Si siri jo , kitu dope, kitu dope
Unataka hii na hii na hii, nifanye
Na pia hii na hii na hii, nifanye
Ka si stori na mulla
It’s just a case of no matter
Na sijui unajiona nani kwanza unipange
Unabanja mingi na yote kumbe ni nonsense
Ka si stori na mula
It’s just a case of no matter