Kitu Sewer – Sa Ntado Lyrics
Check out “Sa Ntado” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Sa Ntado” is off Kitu Sewer new album “Makali Man“.
Sa Ntado Lyrics
Tuko kidale tunatafta form
Si ndo hao na arif yangu Mike
Ashaniunganisha na mamorio
Wamekam na kiraibe
Toka giz giz mboka Nai
Na inatrace-iwa na simesei
Kuskiza Mike toka back seat
Hikio ni kinini, ah kwani dere amejipin
Mike ako zile za cheza chini
Usilete hizo vipindi
Dere ako zile za ambia beshte yako asiongee tena
Ama tumshone tumtume rowe
Kidogo kidogo pull up, pull up kwa choche
Sema co-driver tubonde tuunde space
Kumbe tunacollect rachu flani anaitwa Kosh
Kwenye rampages esto ya mabombe usione
Ingia kwa entrance nishaspot ile ndae posh
Nikaguess either ni ya lawyer
Au ule msee alipiga Jackpot juzi SportPesa
Usione tots kadhaa na shosh ashaanza kuwa slay
Kosh ya kubackmanyu na jeshi ya washwash
Wakipiga mahesabu
Meanwhile kuna wasee wamepigilia ka sanse
Na madogi, backmanyu wanaokota doh
Lawyer alishauza ng’ondo, ju ulimi hainanga bone
Alimangwa doh ya early morning na huyo poko
Ju walikuwa wame-born na ye
Back to the story, sema watu kurushwa matonje nini
Tuliambia dere asionje saa, nini
Yule baite wa machete alisundua akakata msee
Damu ikatoka ka jet, floor yote ishakuwa red carpet
No VIP, kila mtu miguu niokoe
Micky ashaanza kuniambia ni ka anasweat
Nishamshow hujasweat umegongwa
Mi naplay dead
Na inhale peace, exhale presha
Ju vile vitu mi hupitia zi hunilewasha
So nimeamua pesa ndo itakuwa chaser
Sa ntado, sa ntado?
Sanse wamekam jo
Wamekutana na wale wasee wa ndae
Case nini ilifanyika?
Nani alibaki hai, kati ya mtu sita
Mi na Mike na yule dem wa kuchai
Tuko behind bars
Kwa room flani ya evidence
Imagine tuko mang’ango, ma elicit, tuko high
Tukiwaza tutatoka au tutatingwa for life
Ndikni na mating ting, Mike overbleeding
Mi na Kosh, tumekula maviding hazijuani
Na tunatry jo kujiokota hauskii inadim
Wale mabimp wa Kosh, walisha manyuria
Ye mwenyewe analimp
Jo, si tunasink
Ki maajabu afande alikam kutushow
Kuna msee amekam kuwatembelea
Kumbe ni yule lawyer
Na mdenge flani ameng’ara pink
Akatushow…
You should know people
Ngai Lawyer si ana link