Kitu Sewer – Kata Maji Ka Musa Lyrics
Check out “Kata Maji ka Musa” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Kata Maji ka Musa” is off Kitu Sewer new album “Makali Man“.
Kata Maji ka Musa Lyrics
(Kata maji watu wangu waone hio side ingine)
Msitu kwa mlima, elephant kwa hio task
Niko kwenda viral hadi fans ilibidi wavae izo masks
Crawlings zingine juu ya effects za dust
Crawling kwa pub ingine ka Johnnie Walker akirust
Crawling kwa mteja mwingine ju walenje inaburst
Holy water ya kuacha machachani na thirst
Mi silewangi asubuhi sitaki kuharibu hio crust
Jua ni nini kwanza utaweka kwa sahani first
40 days, 40 nights itabidi nimefast
Bambwa na drunk disorderly, community serve
Rudi kudrink properly, familia imekutrust
Ladha ya cocoa tea, I swear ndo their only-
Ebu sema hawatafreeze account
Pesa, pombe, siasa na wanawake thin ju ya hii lust
Hata wanawake washakuwa mathief na hio divai
Ni ya sherehe, graduation na wedding
Hio ingine ni ya ku-tudivide
Wasee wanadive deep na hawajui ku-swim
Lifeguard ako kando anawachekelea
Wakisip zile za am sleeping, I’m falling
Beshte yangu alikunywa chamge
Macho zikago- go missing
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)
Thitima ni ka ice, sensodyne
Behind bars ndo huyu mimi naandika lines
There shall be weeping and gnashing of teeth
Hawa wasee wasipotoa lock by 6 arif
Dem wangu wa wines namwitanga witch doctor
Juu ye hutuuzia spirits, heri wewe ju
Hao wengine wao huhubiri maji na wao hukunywa nini
Matumbler, mapachu na mavikombe
Hakuna chuki hapa ukileta itare-cochet
Compe ni compe, ka si hivo si compe
Imekuwa mwezi mzima tukitafta heal of leo
Eke simu off, tukichomeka mnoff
Na mzinga za Scott
A toss to all my legendary
Na pia wale tulilost
Na msupa kabla huja Wiz Khalifa
Piga kiss ma misas
Dismiss hao wajinga
Niko na biz kwa mzima
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)
Watu wangu waone hio side ingine (Go missing…)
Kata maji ka Musa (Go missing)