Kitu Sewer – Zimeshika Lyrics
Check out “Zimeshika” lyrics by Kitu Sewer off “Makali Man” album.
Zimeshika Lyrics
Ustake kuona jeshi
Imeingia na makumbaku mbwegze
Ndasu ya amoj, nangos ya pili
Mandovu lala chini
Si hapo ndo ukinionyesha ka unanimesea
Karis unachoma game
Ye huturuka ka kangol
Jeshi ishanishow nikufie team
Lakini mi si Fergusson
Ju mi sideal na Arsenal
Simu zimelia ako wapi the new sheriff?
Ju enyewe tuko Nyeri
Alafu enyewe geri ishakam
Terrorist ndio hao
Enyewe washatuzoea
Piga hao motherfcker
Alafuatumie mama zao
Arif yangu ametoka neti
After miaka ka ndechi
Anakaa ka ule msee alimseti
Anakata maji na ye
Ju siku hizi ako na manywele za white na dready
Alikuwa mzito lakini sai ako ni ka Slim Shady
Kidogo kidogo madingo
Walikuwa wanakulia jina ya Uhunye
Wametoka gate ya nyuma
Alafu usitake kuona pedi amesweat
Mafedi washakam wanamuonyesha zii
Hatuko idhaa yako tuko idhaa ya wale mafala
Walikuwa wamekuja
Hapa juu ya mabiashara zingine ilicit
Lakini hata hatujui ni nini
Zimewafanya mkam hapa
Hata hatujui kwanini mmevisit
Enyewe mnajua ni nini tunafanya in business
Enyewe sisi ndo wale wasee wa Ilicit
Kata maji kama photosynthesis
Dush ya white na branch
Zima fala na stone punch
Ju enyewe amekata ng’ango
Na hata hajakula ata lunch
Mi ndio ule jango
Na donyi na smarta
Na mtu wangu producer
Enyewe sitaji majina wanaknow
Eh mabeste wangu
East beste yangu Sifa
Utajua shifta
Mistari mi huandika
Bei yenyewe si hufika
Au shangaa kwani ku endaje
Umetupa ball, lakini eh umemiss carry
Mi sio goalkeeper