Licky Pop Lyrics ft Mr. Right (Buruklyn Boyz)
Check out Pop lyrics by Licky featuring Mr. Right, a Buruklyn Boyz member released on 4th February 2023. Licky is a Kenyan drill artist, songwriter, and sound engineer.
Pop Lyrics
Si unajua me nadai kupop
Hii beat iko juu na ni dope
Uscheke na me we ni opp
Juu kakinuka unadungia ma cop
Huu mpoa alintolea top
Alafu akakuja on top
Na tena hii si story za soap
Ni juu pori imejaa ma bop
Si unajua me nadai kupop
Hii beat iko juu na ni dope
Uscheke na me we we ni opp
Juu kakinuka unadungia ma cop
Huu mpoa alintolea top
Alafu akakuja on top
(LICKY’S VERSE)
Uki trace five eight kwa map
Wamejaza wapoa kwa trap
Wamebambika manze wana clap
Na wanachora saba ka daro ya math
I swear manze hii si cap
Me hufanyanga vitu na rap
Tena na flow ka waba ya tap
Me hushinda niko maji vile niko na bars
Uskii bado nataka nishike ka jeep
Right na Licky itabidi mumetii
Juu tumepull make sure mumedip
Na ni ma tool ndio si tunakeep
Maji ya pool ndio me nili sip
Juu venye nlizama skujua ni ku deep
Balls ni blue ni ka me ni crip
Venye na hit ndio maana wanatrip
Si unajua me nadai kupop
Hii beat iko juu na ni dope
Uscheke na me we ni opp
Juu kakinuka unadungia ma cop
Huu mpoa alintolea top
Alafu akakuja on top
Na tena hii si story za soap
Ni juu pori imejaa ma bop
Si unajua me nadai kupop
Hii beat iko juu na ni dope
Uscheke na me we ni opp
Juu kakinuka unadungia ma cop
Huu mpoa alintolea top
Alafu akakuja on top
Na tena hii si story za soap
Ni juu pori imejaa ma bop
(MR RIGHT)
Uscheke na me we ni opp
Tumefunga na tumepiga lock
Outside niko fly ka hawk
Electricity utapigwa shock
Flow ni hard na leather ni soft
Mali safi ni kitu na bop
She a fine brown ting na ako na ma locs
Hauwezi niget saa zingine kwa bike
At times at studio
Five Eight me na rep iyo hoodio
Ambia Popcaan Si ni Unrulyo
Stick to the script hii life ni movieo
Step kwa block utasee hiyo movieo
Alikuwa anayap aka tight
Sai anatupa mdomo kwa Zoomiio
(Zoomio zoomio…)
Si unajua me nadai kupop
Hii beat iko juu na ni dope
Uscheke na me we ni opp
Juu kakinuka unadungia ma cop
Huu mpoa alintolea top
Alafu akakuja on top
Na tena hii si story za soap
Ni juu pori imejaa ma bop