ThirtyFourBrick – Rengwa Lyrics ft. Kaash Manoti
Check out “Rengwa” lyrics by ThirtyFourBrick featuring Kaash Manoti on Kelxfy.
Rengwa Lyrics
Adibogo shot zako ni sexy
(Gang Gang, 34 Brick lock imesunda clip)
Gware na race ka NFS, pale kwa jijo na T-sho ya red
Nakuja vile inataka na bado ukitaka ntakushow A to Z
Kuna wale wanani-ungrace
Kuna wale wana-sungrace
Kuna wale wamekaza kwa game
Wamelalisha ni kama ni ma dead
Aah!
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D

Nilikatsika Friday tulipeleka
Arif mocha nilikatsika (RIP Starlone)
I swear, nilikatsika
Jaza brief ndo hio shugli tunaeza piga
Kutoka street enzi zile mawakilisha (G-side)
Huba tupa, tukikupata tutakutuma
We ni Judas sidai kuskia your rumours
Nigga nakukuta nakubugda unanyuria
Huku si Runda so watch tu your gear
Ati who is me? Izo stori dismiss jo
Ni better u-meet me ndo ujue ka nakudiss nigga
Hizo swali unaniuliza haziezi drop trigger
Kuja East nikupeleke na form jinga jinga
Mmmh! Ati cocopina
Luku best tunawaadisia hadi ma timber
Unanithreat unajua mi si wa kufinywa
Unanithreat unajua mi si wa kufinywa
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Ah fck msoto mi na G wangu Njoro
Pori ka imeshona tunainusa bila kasoro
Piga tenje ndonyo kula ndole
Ka ulipeleka stenje porojo
Huku labda tutume Bobo Nyosto
Akufanye uhondo orosho
Utaguzwa guzwa ka goshodo
Ma left-right na mnoko imejaza mangoto
Magwash wengi wamerudi bila meno
Underation itazua zogo
Napenda karate napenda mengo
Kwa brain kasoro
Huwezi pata niko solo
Mbogi ka haikupiga koto
Huwezi zoza hii side
Nimebeba big bride
Hatuwezi fanya biz weekend
Try sipendi nigga anadick ride
Nimetoka Eastside kila yut ni G-sign
Nimetoka Eastside kila yut ni G-sign
Ni G-sign, ni G-sign
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Rengwa rengwa rengwa nikirau nandanasu kidi
Hiki ndo ki-asset cha yut wa D
Mi niko grinding we uko chatting
G ako top ka Burj Khalifa
Na si huziseti ka Wiz Khalifa
Mi ni heavy weight ka Mike Tyson
Mbogi ni ya wachamp brathe
Una move za kichichi
Na we ni Mr. We si Mrs
Ukidiss the gang, unapigwa maboot
Warasta kwa mbogi, nywele mungiki
Usbanje na mi, ka si ngwai na riziki
Siwezi banja na pikni
Mi ni wanted nigga kwa street
Mi ni wanted nigga kwa street
One Comment