Lil Maina – Fom After Fom Lyrics
Read “Fom after Fom” lyrics by Lil Maina on the Kelxfy blog. “Fom after fom” is off Lil Maina’s debut album, “Maisha ya Stunna“.
Fom after Fom Lyrics
Skiza, ah ah ah ah…skiza
Everyday is day full of blessings
Niko na mbogi kama Wizkid no stressing
Cash, girl alafu wikendi is straight flexxing
Dem akikuacha nyakua mwenye uliacha pending
Forever grateful na – no stressing
Ironical alikuacha uko vexing
The way you whine your body baby is perplexing
Fanya ile kitu tulifanya jo ilikuwa amazing
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinese
Ni hao,– hizi ni gani?
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinesse
Ni hao,– hizi ni gani?
So ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
So ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
So skiza, I’m the young flexer
Unafanya ufala mbele ya watu to impress her
Buda ka ni gari mi nachukuanga Imprezza
Cheki venye daily niki- na apply pressure
Kama Safaricom si unajua sisi Twaweza
Never let her tell you that you can never replace her
Social media kwanza hii kitu iko na pressure
Weka simu chini skiza doba toka lesser
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinesse
Ni hao,– hizi ni gani?
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinesse
Ni hao,– hizi ni gani?
So ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
So ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
Nacheki ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
Nacheki ni form after form after form
Hushiki simu manze tenje iko on
Hizi ni ngoma manze si hu-sing along
Na kama imekubamba basi rudia hii song
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinesse
Ni hao,– hizi ni gani?
Mbona nisiende club na home haisaidii
Walikata chrome sai wako highspeed
Macho imedim na kiuka Chinesse
Ni hao,– hizi ni gani?
One Comment