Lil Maina ft Buruklyn Boyz – Zoza Lyrics
Lil Maina teams up with Buruklyn Boyz to release their new song “Zoza”. Read Zoza Lyrics on Kelxfy. “Zoza” is the first collabo between Lil Maina and Buruklyn Boyz.
Zoza Lyrics
Kwa hii life tunacheza hawa mongers
Mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za Mathare
Sai naishi mayolo nasling nazichota
Mechi zangu zingine
Nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa
Nina ball wanadhani nakopa
Kwa hii life tunacheza hawa mongers
Mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za Mathare
Sai naishi mayolo nasling nazichota
Mechi zangu zingine
Nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa
Nina ball wanadhani nakopa
Nikitoka mi huchafua scenes
Man am on their mouths
Like Lisa Reen huh
And if I cheat I will come out clean
Kujificha ya watoi huh
Na ma exes kuwatesa
Ni ju daily na apply-ingi jo pressure
Ni kuzidi there is no rest man
Last show nilizoza huko Westlands
Na siku hizi wanasema nakula
Eti Jere kidogo umekuwa na kitambi
Na Bima nimeshika nimechapisha doba
Ukiingia unaskiza kinyambi
Niko trap Kilimani
Wapoa wako different lakini ukweli mababi
Uh samahani mteja wa nambari hapatikani
Niko na dem yako ana chali
Anadai una games chali
Kwa bag ni Jeff Hardy
Doba imewow when I get sturdy
Marapper wako class wanaguess studies
Jegi zinawhip kwa majiaga car keys
Roadman jeep piga Nikes
All time si unajua hizo ndo fly kicks
Si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza
Kupull up their socks wassup hio trouser
Si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza
Si unajua hii side nimezoza
Kupull up their socks wassup hio trouser
Kwa hii life tunacheza hawa mongers
Mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za Mathare
Sai naishi mayolo nasling nazichota
Mechi zangu zingine
Nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa
Nina ball wanadhani nakopa
Kwa hii life tunacheza hawa mongers
Mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za Mathare
Sai naishi mayolo nasling nazichota
Mechi zangu zingine
Nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa
Nina ball wanadhani nakopa
Bad bihs A to Z
Nawakunywa na straw kama lucozade
Tuko bukla natingisha bunda
Anataka kunionyesha kurotate
Slow whine, fck hotel naisqueeze
I’m on my lucky days
Hizi sides sisi ndio kusema
Tukikam hizo sides mna-relocate
Drinks so cold on a sunny day
Ey sipping on Lemonade
Drinks so cold on a sunny day
Ey sipping on Lemonade
Ni uongo ni fairy tale
Unakaa paloti hio ni nini unasay
Drinks so hot on a rainy day
Ey sipping on Lemonade
I’m in for the money days
Mulla cash I wanna get paid
Kwa hii life tunacheza hawa mongers
Mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za Mathare
Sai naishi mayolo nasling nazichota
Mechi zangu zingine
Nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Nina ball wanadhani nakopa
Nina ball wanadhani nakopa
One Comment