Lil Maina – Doba Imewai Lyrics ft. Trio Mio
Read “Doba Imewai” lyrics by Lil Maina featuring Trio Mio on the Kelxfy blog. “Doba Imewai” is off Lil Maina’s debut album, “Maisha ya Stunna“.
Doba Imewai Lyrics
Aaahhuh…
(fire..fire fire)
Nacheki ndo huyo mimi ninaenter
Bado zimerunda niko jaba na matemper
Kushoto kulia wako maji wamebebwa
Konyagi imeshika nimenyanya nasurender
Aiii nacheki
Ruka juu mpaka mkono ubanjuke
Ongeza debe mpaka speaker zipasuke
Chafua meza mpaka mawaiter washtuke
Na wakileta vita ita bouncer awarushe
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify
Ah-ah siskii fiti
Mbona nikunywe pombe na ngwai ni fifty
Fear no man mimi sitishiki
Hapo tu, hapo tu aki Nyashinski
Na cheki, you can’t see me aii John Cena
Cheki circle yangu iko full of winners
Mi naguza legendary we beginner
Narudia narudia aii mi ndio winner
Aiii nacheki
Ruka juu mpaka mkono ubanjuke
Ongeza debe mpaka speaker zipasuke
Chafua meza mpaka mawaiter washtuke
Na wakileta vita ita bouncer awarushe
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify
[Trio Mio]
Zimeshika zimerunda I can testify
Mpaka Njoki wa mutura anakaa wedding bride
Ndo umekuja na msupa who can tell this guy
Manzi wako nitamkula kama cherriepie
Aai doba zimewai
Kama tea kwa magomba tunakimbiza ma ngwai
Mamnguna wanarombosa we unatingisha mayai
Ka uko solo na hauna mtu, we enda umedi ndani ya ndai
Ruka juu sahau shida na ubanjuke
Ongeza debe mpaka spinje zipasuke
Chafua meza mkurungezi wakumbuke
Na wakileta zogo si uite bouncer wakumbuke
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify
Doba imewai, doba imewai
Doba imewai
Zimeshika zimerunda
I can testify