Marioo ft Harmonize – Away Lyrics
Check out “Away” lyrics by Marioo featuring Harmonize on Kelxfy.
Away Lyrics
Yaw yaw
(Konde Boy call me number one)
Bakhresa yeah yeah…uuh
Dakika 1,440
Hunitoki boo
Masaa ishirini na manne
Huondoki tu
Kwenye moyo wangu jenga (Sawa)
Maana kila unapodunda puuh
Nataja jina lako
Kwenye moyo wangu Ishi(Sawa)
Kila napotaka sema suuh baby
Naiona sura yako
You’re my angel (oh lalalaah)
You’re my everything
You’re my everything
You’re my sweetie (Taa la la la)
Mi nataka niwe na wewe milele
Don’t you go, away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away
Mi nataka niwe na wewe milele
I know! I know! I know!
Uzuri Uzuri wako unawapa chefu
Wenye chuki na hila
Basi kama rahisi kuwa na shepu
Waka jaribu Mloganzila
Eti nakesha nakuombea
Ndo kisha najiombea
Cause I see this love in the air
And I promise to never share
My baby boo asa mbona
Huniishi hamu
Kutwa kucha nakuongelea
Wewe nakuongelea
And I swear
Baby sio tu damu
Hata figo ntakutolea
Wewe nakutolea
Mwenzako huko nyuma nshazunguka
Sitaki hata kukumbuka machungu
Yale si mapenzi vitunguu
Ila baby wewe, ulinifuta machungu
Siku ukienda utaniua mende
Kwa bonge la rungu
Don’t you go away
Don’t go, don’t go
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away
Mi nataka niwe na wewe milele
Don’t you go away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away
Mi nataka niwe na wewe milele