Naiboi ft. Iyaniii – Ananitaka Lyrics

Naiboi has released a new track featuring Kenyan artist Iyanii. Check out the lyrics for “Ananitaka” on Kelxfy.
“Ananitaka” is a promising track; it marks the first song by Naiboi after taking a 5-year hiatus.
Ananitaka Lyrics
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine
Anaichapa
Kwa majina ni Iyanii (Nakujua)
Ah Naiboi, kwani boss iko nini?
Waka waka (Waka)
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine
Anaichapa, ah wote!
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine
Anaichapa
Skiza story maiG
Tulipatana na huyo manzi IG
Ameni DM my G
Anataka kuniona saizi
Aii buda why say lie
Ati mlikutana na ye online
Unasema anakudai?
Na amekuwa kwangu jana all night
Hauniamini cheki Insta
Ndo huyo ametuma zake picha
Hakuna kitu nakuficha
Ona hadi juzi tukivuta sheesha (Uwongo)
Hii si ni AI
Hizi picha si umetoa online
We millenial hakudai
Anapenda tu maGenZ walai
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine anaichapa
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine anaichapa
Unanishana unabishana nini?
Na huna kitu we unabonga nini?
Huyo manzi amedata na mimi
Jogoo ya shamba haiwiki mjini
Stori za jaba peleka
Peleka kwa choo
Tusibishanie mrembo
Tafuta wako
Oooh!
Brotherman unanitusi walai
Mmmh si pia wewe umenitusi my guy
Huyo manzi ameniita tonight
Na pia mimi ameni-invite
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine anaichapa
Ananitaka, ananitaka
Anasema hakuna mwingine anaichapa