Vinny Flava – Senje Lyrics
Check out “Senje” lyrics by Vinny Flava on Kelxfy. “Senje” is derived from the Luhya language, and it means a beautiful girl.
Senje Lyrics
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Kawikendi kamefika fika
Na tunakwenda kujirusha
Ita Nikita na Anita nita
Leo tunazipandisha
Waiter waiter ongezea mzinga kwa meza
Kiongozi amesema leta atalipa
Tunapikipiki piki piki dunda (Dunda)
Tunapikipiki piki piki dunda
Tunapikipiki piki piki dunda (Dunda)
Tunapikipiki
Na leo leo tunadu dunda
Tunadunda tunadunda mpaka che
Mikono juu tukidu dunda
Tunadunda tunadunda mpaka che
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Hey Mr Dj play my song
Make it a replay for my girl
Mziki na iwake, taki taki rumba
Aiyayayayaya
My baby my panadol
Wako pananol
Nikubebe ka mugithi za Samidoh
Mziki za Samidoh
Waiter waiter ongezea mzinga kwa meza
Kiongozi amesema leta atalipa
Tunapikipiki piki piki dunda (Dunda)
Tunapikipiki piki piki dunda
Tunapikipiki piki piki dunda (Dunda)
Tunapikipiki
Na leo leo tunadu dunda
Tunadunda tunadunda mpaka che
Mikono juu tukidu dunda
Tunadunda tunadunda mpaka che
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Unanikunywa senje, kunywa kunywa
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Nadunda dunda dance, nadunda dunda dance
Eeh nadunda dunda dance
Waiter waiter ongezea mzinga kwa meza
Kiongozi amesema leta atalipa