Ochungulo Family – Zero Distance Lyrics

Check out “Zero Distance” lyrics by the Ochungulo Family on Kelxfy. “Zero Distance” is a special track for fans after the group took a musical break of about three years.
Zero Distance Lyrics
Ehh, Ah man a badman ting
Stray Music!
Eh Pace ni ya, pace ni ya
Pace ni ya Zebeko
Najiskia ka, najiskia ka
Najiskia ka Beko
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Venye ako picky tunafunga blinders
Dem ni macho chongo namba ya eyeliner
Bad to the bone na mfupa ya christmas
Mechi siku tatu utadhani ni Easter
Uko na high momentum
Venye unashake maintain momentum
Niko na low momentum
Venye unawhine inaniongeza momentum
Uko na Rolex na una vako za kiCasio
Punda milia ju ana Meghan Thee Stallion
Niko na anaconda sleek kama Python
Alejandro tupent– ni sex icon
Pace ni ya, pace ni ya
Pace ni ya Zebeko
Najiskia ka, najiskia ka
Najiskia ka Beko
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Nairobi ni ya ma elite
Picha tunachoma tuki-edit
Venye anawabeba ni ka anakunywa critine
Na mafala wamemblein kama mandazi ya canteen
Manzi wako mi humuita my G
Tulijuana Tinder mlijuana IG
Akiwa kwako anado IT
Akiwa kwangu anadu stingo za tychi
Boss asmile anatoa pantie
Na watoi wake sai wanamuita auntie
Unakula L akidunga my Tee
Stori zako anaziruka ka anacheza kati
Pace ni ya, pace ni ya
Pace ni ya Zebeko
Najiskia ka, najiskia ka
Najiskia ka Beko
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Ndo ukeep it 100, uza mia mia
Ndo nikeep it one hundred nauza moja mia
Na kwa saa nauza moja mara mia
Niko na client mara moja hubuy mia
Mi najua Wiz we unajua moja Mia
Uko desparados na maquandoses mia
Mi niko Habanos na ma-option kama mia
Niko chwani chwani ka nadai change ya mia
Hadi subira anavuta fegi
Mi kando yake nikivutia mapedi
Stori za jaba abunuwasi na hemedi
Ukitry kutucross tunakufunga na mahedi
Nairobi njeve tunafunika na njegi
Niko na foreign na mpoa kienyeji
Tuongeleshani adi ifike saa ya mechi
Tuko na beef, afu ref tuliachia bedsheet
Pace ni ya, pace ni ya
Pace ni ya Zebeko
Najiskia ka, najiskia ka
Najiskia ka Beko
Ju nakeep it zero distance
Zero distance
Ju nakeep it zero distance
Zero distance