Nyashinski – Therapy Lyrics
Check out “Therapy” lyrics by Nyashinski on Kelxfy. “Therapy” is off Nyashinski’s new EP “Good Old Days”.
Nyashinski – Therapy Lyrics
Hakunanga kubishana na hii do una-agree
Ka una kana ushaambiwa ni vile tu hauskii
I’m the one, wanapiganianga two na three
Naifanya ni ka nimetumwa
Shin ndani ya nyumba
Huezi kaa cool (Cool ka breeze)
Mikono weka juu na ufreeze
Huku mtaani mi ndio dream ya rapper mnew at least
Lazima nizidi ku-suceed
Live and direct
Na inategemea nani anasign cheque
Narealize real life yangu ina-sound flex
Naulizwa when Shin City ina-come next
Nimekuspoil na zile vitu mi hukupea
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Najua unasuffer kila time mi hupotea
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Nafeel ni ka hii ni
Therapy session ya mine yaani
Yeah! Legacy tena si vile unatema ni, cheddar
Jealousy ka we ndo kusema
Hii kazi ni better itese forever
Ka si ivo si basi wallet inone
I mean shoot four pent-house note four Mezzanine
Na-need ni-pull up na machine
Inakaa kama Shin marashi kutoka East
Na ndo unainusia ubabini
Unaeza nipata kwa mlima
Juu zao ziukuwanga chini
Hatuwezi kaa mahali zao ziukuwanga
Hizi ni flow za kizing, haziharakishwi
Utangoja zi-drop tu kama pin
Top one hunimesei aje?
Nina say ka mtu ako within
Anajua magazine cover
Nyi mkiwa chuo somehow niko hapa juu, bado
Nimekuspoil na zile vitu mi hukupea
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Najua unasuffer kila time mi hupotea
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Hii ndo therapy ulikuwa una-need
Nimekuspoil na zile vitu mi hukupea
Therapy ulikuwa una-need
Money talks, yeah yeah..