Wakadinali “Graduation” lyrics ft. Andrew Kibe

Check out “Graduation” lyrics by Wakadinali featuring Andrew Kibe. The song is a theme song for Andrew Kibe’s homecoming event which is scheduled for December 2023. “Graduation” gives the feeling of accomplishment and wins.
Graduation Lyrics
Our graduation day, we shall be graduating
It’s gonna be a whole event bro
It’s gonna be something interesting
So it’s only Ksh. 2000,
More than Ksh. 2,000 is too much
Hata tulikuwa tumeweka soo tatu
Nikaambiwa I don’t be ridiculous
(Big Beatz Afriq)
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
If the product is clean, my lips go numb
I hope my team will meet demand
Sipping tequila niko pale Milan
Usibonge na pigs we sare haram
Nakuja Uganda can’t wait to land
Hii ni banger you cant wait to cram
Goshodo anadai anakuja kuhang
Nikamshow ukikuja we kuja ukirun
Si sisi huchafua
Na venye si huwanga tumeng’ara
Mpoa, hakuna cha foreplay hapa
Ah-ah we kuja kama umejidara
Naibonda itarudi kwa garage
Usibonge mbaya utaji-embarass
Mutura na mara, purura kwa bara bara
Hii ni ya Africa man, usitubebe vilight
Tuligraduate kutoka kwa green
Siku hizi tunapiga ma white
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
For sure, for sure
Wuzu is a tool of distraction
Duke of Eastlando
Fry de mandem ki u Ramtons
Isend re-send isiende, nishareset nangos
Nandos najitreat mangoes
Design nitakukill ki-ufashion
Utaskia Munga-reh pewa sub
Ju stori ka ni guap mnare hapo sawa
What baba? Zile za ki ajab
Venye akigawa nyap ngunare kwake sawa
Dub step kila step dab na adabu
Power nap juu net kama power tab
Piga girl graduated huku Gulf
Nah nah nah nah nah
Still I’m living my dream
Nataka Benzo na Bima
What you talking nani
Naeza kubuyia kwa Benz na unazima
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
It’s a new era hadi EPRA inateta
Gede hakuna tutachomaje hater
Si vela ndo ilivuta mbleina
Kesi complicated niiteni hio mbeta
Savage ka 21, nilijipata inda
Before graduation
Mnabanja banja sana, mi ndo Weta
Shikanishwa ka corridor ya love set
Cadet alitumwa hadi kwa casket
Mundikisha ka kansten
Wako wa sai atageuzwa past tense
Taka ashawo arudi kwa market
Usiwai onyesha dem wako kwa gang
Tunafix ma tarehe
Easter mi na jeshi tunaifanyaga Christmas
Huku East tunaslang
Hatutaki za free lunch
Kama bado mi na wee
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda ni congratulations
Finally mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Big up mabuda leo ndo graduation
Mmemaliza