Sammyboy Kenya Zoza Lyrics
Kenyan artist Sammyboy Kenya has released his debut song titled “Zoza” on January 30, 2022. Check out Zoza lyrics on Kelxfy.
Zoza Lyrics
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama
SammyBoy amelala
Vile mama unazoza
Ready kurusha madollar
Zoza kama unachokoza
Mambo yamechemkachemka
Inama tena geukageuka
Panda tena temkatemka
Temka temka
Cheza birika yoyoyoo Cheza birika
Mama tingika yoyoyo Mama tingika
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama
Unanisaffocate
Akili inarotate
Unanisaffocate ka barakoa
Akili inarotate unanibomoa
Nataka nipepete pepete
Hadi ngware rekete rekete
Nipe yote tete tete
Hadi ngware rekete rekete
Cheza birika yoyoyoo Cheza birika
Mama tingika yoyoyo Mama tingika
Ebu zoza lil mama
Zoza ukichutama
Zoza lil mamaaaaa
Za za ukiinama
Zoza zoza zoza Ukichutama
Zoza zoza zoza Ukiinama