Savara – Show You Off Lyrics

Check out “Show You Off” Lyrics by Savara on Kelxfy.
Show You Off Lyrics
Hallo hallo nimekuja na tangazo (Hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Roho zimegongana
Hii ni ajali ya mapenzi
Si tulishapendana
Ananienzi namuenzi
Alivyoumbika Mashallah
Katoto ka nyota yaani star
Kanaleta mwangaza
Sitaki kupoteza maithaa
Wacha niringie dunia
Hallo hallo nimekuja na tangazo (Hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Mapenzi yamejaa kwa hewa
Zima taa na upunguze pace
Ni nani aliyekukera?
Anaishi wapi nimtumie jeshi
Niliapa sitapenda tena
Lakini leo nafungua kesi
Songea karibu upesi
Densi
Ju kati yetu kuna zero centimeter
Hakuna kilometre
Kiuno chako kinaniita naitika
My wangu sinyorita
Hallo hallo nimekuja na tangazo (Hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off
Show you off, show you off
Unawafinish kumalo
Waonyeshe, waonyeshe
Waonyeshe vile nakupenda
Waonyeshe, waonyeshe
Waonyeshe vile nakupenda
Oh mama mama, mama mama
Mama mama
Harusi tunayo, hatunaaa
Tunayo, tunayo
Harusi tunayo, hatunaa?
Tunayo, tunayo
Mapenzi tunayo hatunaa?
Tunayo, tunayo
Mapenzi tunayo hatuna nah nah nah nah
Tunayo, tunayo