TikToker Lyrics- Soundkraft ft. Gody Tennor, Tipsy Gee & Kappy
Check out “Tiktoker” lyrics by Soundkraft featuring Gody Tennor, Tipsy Gee, and Kappy. “Tiktoker” is one of the trending arbantone songs in Kenya.
TikToker Lyrics
Ati black chocolate, ni fine melanin
Bana kutoka nikapate
Kanapenda kenye mi huwa napenda
So kanapenda toto chupa na haga nono
(Like a boss)
Tenda wema pewa tako
Kwangu ni clean so buda fagia kwako
Nikuje ndogo juu utakula kushoto
Usitake kuonana na my dirty version
Nilijam nikasample mali yako
Manzi yako na mpango wako wa kando
Tunapinganga triosome tunakusengenya
Ni Mr. Last guy manzi yako ashanipenda
Mtoto wa nyumbani toto la home
Kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
Bad btch wa hii party vibe iko top
Kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper
Hapendi vijana wa Roysambu
Hapendi kupelekwa hizo klabu
Mi nataka jo atrend akule vitu best
Alafu nikafanye maajabu
Huyu msupa ni mpole hana mambo
Halafu hapo nyuma mauano
Ye hukuanga amevai, mavitu ni vulai
CV nime apply chali yake namtoka
Mtoto wa nyumbani toto la home
Kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
Bad btch wa hii party vibe iko top
Kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper
Tulideliver Nairobi ikakubali kunipea dem peng
Nimekuwa badboy kutoka enzi za F2
Kenye nataka ni mic jo na madem tu
Hii ni hype iko na version ya dangsu
Dem amejibeba bompa na ako na tattoo
Sheen ako awaer acha leo nitaje Fatum
Mgenge tru ameangukia Mwarabu
Mtoto wa nyumbani toto la home
Kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
Bad btch wa hii party vibe iko top
Kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper
Pic poc kanapenda kuzitoka
Tiktok kanakuanga TikToker
Pic poc kanapenda stick proper
Big bomb vile ako na big bomper